Namwonea sana huruma Mpenzi wangu, Ntachomfanya atajuta kunifahamu.

Acha ulofa ww humtaki mtose uone watu watakavyompokea huko mtaani.
Usipoteze muda wake
 
Ushauri mzuri sana huu. Kazi kwake kijana...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole mkuu na mimi kuna demu ananielewa ila shida ni umri kanizidi ila vigezo vingine yupo poa huwa nawaza nashindwa cha kufanya maana anawatosa washkaji.na ukicheki mimi hata siendani nae kanizidi vigezo vingi.

Sent using Jamii Forums mobile app
aisee hivi vitu jaribuni hata kuyoutube vijana wenzangu umri sio tatizo kama ana akili ya maisha nenda naee kikubwa asiwe damaged women basii ila kama ni damaged huwezi mbadili maisha yako yoteee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwan yy hajui km hamuendani??
Tofaut ya umri tu inatosha kuamin kwamb u will not b together with her
Ila ushauri wang kaa naye umpe somo na upunguze mapnz naye....
Atajkuta amepotea tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza naona lilikua kosa lako kuendelea kuwa nae ili hali ukijua huna mpango nae.
Pili wewe kama uliona si sahihi kwako kwanini ulimpiga verse.
Twende kwenye mada yabidi kwanza ujifunze kutokana na kosa lako kisha zungumza nae kwa uwazi naposema hivyo namaana tumia hekima na busara usilete madhara kwake maana yeye atakua muhanga mkubwa.
Kumbuka LOVE KILLS.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

[emoji87][emoji87][emoji87]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…