Namwonea sana huruma Mpenzi wangu, Ntachomfanya atajuta kunifahamu.

Namwonea sana huruma Mpenzi wangu, Ntachomfanya atajuta kunifahamu.

Acha ulofa ww humtaki mtose uone watu watakavyompokea huko mtaani.
Usipoteze muda wake
 
Make up your mind utakuwa nae au unamuacha? Ukitaka kumuua nyani usimuangalie usoni.

Kwenye ndoa za amani na furaha ni umpate mwanamke anaekupenda. Atayavumilia mapungufu yako yote, iwe pesa, tendo la ndoa au kunuka mdomo.

Wengi wanaishi navwanawake wasiowapenda lakini wamewazoea kwakuwa mke anampenda kufa.

Fikiria mmegombana hamuongei ndani ya nyumba lakini amesikia mama yako ni mgonjwa amekimbia na kumuwahisha hospitali. Anamnunulia night dress mpya na vitenge, mswaki, lotion . Ukienda kumuona mama yako mwenyewe roho inaridhika ingawa ni mgonjwa lakini ni msafi.

Girl friend tafuta mzuri lakini tafuta mke anae kuelewa.
Ushauri mzuri sana huu. Kazi kwake kijana...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole mkuu na mimi kuna demu ananielewa ila shida ni umri kanizidi ila vigezo vingine yupo poa huwa nawaza nashindwa cha kufanya maana anawatosa washkaji.na ukicheki mimi hata siendani nae kanizidi vigezo vingi.

Sent using Jamii Forums mobile app
aisee hivi vitu jaribuni hata kuyoutube vijana wenzangu umri sio tatizo kama ana akili ya maisha nenda naee kikubwa asiwe damaged women basii ila kama ni damaged huwezi mbadili maisha yako yoteee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwan yy hajui km hamuendani??
Tofaut ya umri tu inatosha kuamin kwamb u will not b together with her
Ila ushauri wang kaa naye umpe somo na upunguze mapnz naye....
Atajkuta amepotea tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wanaJF, am sure mkopoa sana ndugu zangu..

LET NIENDE KWENYE MADA MOJA KWA MOJA..

Wakati nipo chuo nilibahatika kupata mpenzi ambae kiukwel nilimtongoza kwa kujaribu tu lakini chakushangaza ni kwamba akanikubalia tu bila kujua sikua serious... nikaona isiwetabu nikawa nae kwenye mahusiano mpaka wakati huu naandika hii thread ndo mpenzi wangu actually pamoja na kwamba michepuko ipo lakini yeye ndo amekua currently kwa sababu
1)Hajawahi kuniomba pesa ingawa me ndo nikiwa nakipengele nikimwambia nashida na pesa huwa ananipa bila kinyongo_

2)Hana michepuko hii ni kwasababu naweza kukaa nasimu yake hata siku 3 na nisigundue chochote licha ya yeye kukuta sana sms za michepuko kwenye simu yangu_

3)She care about me
yani nikimwambia siko poa au naumwa yupo tayari kuacha kazi zake zote nakuja kunihudumia

4)Ni mtam yani papuchi ake hua ananipa muda wowote kiukwel hua naenjoy sana mapenzi yke

SHIDA NI NINI_

Shida ni kwamba pamoja na hayo yote ni kwamba nafsi yangu haijaridhia na wala sidhani kama naweza kumuoa yeye... Yani am sure ananipenda sana but kwa kweli cfikilii kumuoa yeye kabisa

SABABU NI NINI_

Sababu ni kwamba amenizidi umri, chapili ni kwamba amenizidi urefu kitu ambacho sijakipenda kwa kweli
chatatu ni kwamba simpendi tu alivyo...

So nimekua nikiwaza sana jinsi ya kumuacha' yan namuonea sana huruma kwa kua yeye anafikili me ndo mwanaume wake wa maisha' kitu ambacho hakipo kabisa kwenye akili yngu...

Naombeni ushauli ndugu zangu' nitumie mbinu gani kumuacha huyu bidada mana kwa umli wake sasa hivi anahitaji ndoa~~ while binafsi kuoa sio leo wala kesho,, na hata nikitaka kuoa siwezi kumuoa yeye'
Kwanza naona lilikua kosa lako kuendelea kuwa nae ili hali ukijua huna mpango nae.
Pili wewe kama uliona si sahihi kwako kwanini ulimpiga verse.
Twende kwenye mada yabidi kwanza ujifunze kutokana na kosa lako kisha zungumza nae kwa uwazi naposema hivyo namaana tumia hekima na busara usilete madhara kwake maana yeye atakua muhanga mkubwa.
Kumbuka LOVE KILLS.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bwana kijeba mtoa mada!!!! Siku zote tamani sana kwenye maisha yako upate mtu atakaekupenda sana kuliko utakavyompenda wewe hapo kwakweli utaenjoy sana maisha ya mapenzi BUT ukipata tofauti yaan upate mwanamke utakae mpenda wewe sanaaaaa!! Basi tambua yatakayokuja kukukuta siku ukiachwa ni majuto lakini kwa vigezo ulivyoviweka havna mantiki yoyote na huyo mwanamke ni wife material kabisaaa kitu ambacho ni wanawake wachache walionavyo hasashasa uaminifu na ukitaka kujua huyo mwanamke yuko tofaut mwache afu upate mwngne utakaempenda then muombe simu yake ukae nayo hata masaaa tu kama hujafa!!!!! Ndipo utamkumbuka huyo ulomuacha na kipindi hicho utamkuta kashaolewa na ndoa yake na watt juuu. Period!!!!

[emoji87][emoji87][emoji87]
 
Back
Top Bottom