fyddell
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 12,026
- 22,549
Acha kuniaibisha basii, kwamba hujafuatilia tangia alipotua mpaka kuvalishwa medali ya ushujaa na speech yake?! Kwamba vyote hivyo vilifanyika uwanjani pale kwa upeo wako lol!!Mbona kafikia airport, kaongelea airport na kaondokea airport...
Kama wao wanaume kweli wengempeleka mtaani akanyoshwe...
Keep yourself updated and don't lag yourself behind of anything in this world.