Nancy Pelosi aondoka Taiwan

Nancy Pelosi aondoka Taiwan

Mbona kafikia airport, kaongelea airport na kaondokea airport...

Kama wao wanaume kweli wengempeleka mtaani akanyoshwe...
Acha kuniaibisha basii, kwamba hujafuatilia tangia alipotua mpaka kuvalishwa medali ya ushujaa na speech yake?! Kwamba vyote hivyo vilifanyika uwanjani pale kwa upeo wako lol!!
Keep yourself updated and don't lag yourself behind of anything in this world.
 
Aende na kwa mzee wa kiduku kama kweli ni mbabe tuone kama hajarudi kwa machela 😂
 
Kwa hasira majeshi ya china yameapa kukata mauno kama tiara huku yakisonya kama mapepo na vijidege vyao na vijimeli vyao kuanzia leo baadae. Watakata mauno feni kuizunguka Taiwani kwa siku 7 huku wakiisuta Taiwani na vidole juu kwa nini imewaaibisha taifa teure la china.
Like baby girl throwing her toys from a pram!
 
Sasa macho twayarudisha Nagormo Karabah, (Azerbaijan imefanya mashambulizi), Kosovo, na Ukraine!
 
Hela ndiyo inatengeneza nguvu ya kijeshi mzee.

Huna hela huna lolote..... China ni muoga wa ku spend pesa hivyo hawezi kuingia vita na Taiwan wakati anajua US yupo pale.

Game is over; wacha tusubiri Putin na yeye how long he is going to survive against westerners.
 
Majitu hayana uelewa mlitaka Huyo mama apigwe risasi. Thailand watakuwa na wakati mgumu sana
Hapana. Air force ya China ilitakiwa ifukuzie ndege yake mbali asiruhusiwe kabisa kutua. Ndege mbili juu; mbili chini; mbili kushoto; na mbili kulia wamtoe nje ya airspace ya Taiwan.

Hilo tu wangekuwa wamefanya la maana kwa zile tambozao; you are playing with fire; my foot. Kuna anayeijua fire kuzidi United States?
 
Mbona kafikia airport, kaongelea airport na kaondokea airport...

Kama wao wanaume kweli wengempeleka mtaani akanyoshwe...
Hizi akili mngekua mnaishia kwenye zile nyuzi za kula tunda kimasihara. Inasikitisha bongo ina watu wa hovyo sana kwenye reqsoning capacity. Huyo mama kalala hotel na leo alikua anahutubia ikulu dunia nzima imeshuhudia haya unayatoa wapi?
 
Back
Top Bottom