Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
Harusi imefungwa KKKY USHARIKA WA NGARENARO ARUSHA ,halafu cha kusikitisha ni kuwa hii ndoa haikuwahi kutangazwa kanisani hata mara moja, watu wenyewe si wenyeji wa usharika huo sijui kwa nini hakufungia huko usa, au kwa kuwa bi mkubwa nae kwao ni usa akajua wachaungaji wangesthukia mchezo?! Ila jana pale kanisani iliacha maswali mengi sana watu wanahisi huyu mchungaji aliefungisha ni wa familia au amehongwa, maana haikufuata utaratibu wowote wa kutangaza ndoa.
Luca ana ndoa tayari!km sikosei wametengana na mkewe!ana watoto wengine wawlMchezo gani ambao ungeshitukiwa?
Bongo noma
Hata mimi wacha tu.Nimeamini Arusha kuna maeneo ni kama Ulaya.
Luca ana ndoa tayari!km sikosei wametengana na mkewe!ana watoto wengine wawl
ukiwa na pesa hakuna cha kushindwaKhaaaa!
Ndoa ya church?! Jmn ss ndo imekuaje?
Au itakua ana divorce paper
ukiwa na pesa hakuna cha kushindwa
vinabana balaaa!!Nimejikuta navaa viatu vya aliyeachwa
Aisee aibu kama ni kweliLuca ana ndoa tayari!km sikosei wametengana na mkewe!ana watoto wengine wawl
Mhh, mbona unakwenda mbali sana!Angemuweza wapi??Mtu mwenyewe anajiita MB...Wakati watu ni viwango vya GB na 4G.
Halafu anjiita DOG...Sasa wewe mwanamke una akili timamu ukamvulie nguo mtu anajiita Mbwa?Na kwa ufupi ule angekuwa anafika kwenye magoti ya Nancy!!Watu wafupi huwa wanalaziimisha sana...Huyo MB Dog aende kwa Linah Sanga...Wataendana kuanzia vigimbi mpaka ukomavu
yes tena ni mtu mweupe mwenzie Luca,nahis wametenganaAisee aibu kama ni kweli
Hiyo tshirt nyekundu mtihani!
Atakuwa alizamia..Hiyo tshirt nyekundu mtihani!
vinabana balaaa!!
ZanzibarNi wapi hapo walipopiga hizo picha?
Umeolewa au bado?Kapendezaa hasaaa.
Sio wenzangu na mie kuolewa na mitumbo hiyo!
Ona alivyo pendeza!
Ndio, ukishazaa huwezi sema hayo shost,Hahaaa
Bado mkuu!
Why?
Sbb nmesema tumbo?