Nancy Sumari is officially Mrs. Neghesti

Nancy Sumari is officially Mrs. Neghesti

Harusi imefungwa KKKY USHARIKA WA NGARENARO ARUSHA ,halafu cha kusikitisha ni kuwa hii ndoa haikuwahi kutangazwa kanisani hata mara moja, watu wenyewe si wenyeji wa usharika huo sijui kwa nini hakufungia huko usa, au kwa kuwa bi mkubwa nae kwao ni usa akajua wachaungaji wangesthukia mchezo?! Ila jana pale kanisani iliacha maswali mengi sana watu wanahisi huyu mchungaji aliefungisha ni wa familia au amehongwa, maana haikufuata utaratibu wowote wa kutangaza ndoa.

Mchezo gani ambao ungeshitukiwa?

Bongo noma
 
Angemuweza wapi??Mtu mwenyewe anajiita MB...Wakati watu ni viwango vya GB na 4G.
Halafu anjiita DOG...Sasa wewe mwanamke una akili timamu ukamvulie nguo mtu anajiita Mbwa?Na kwa ufupi ule angekuwa anafika kwenye magoti ya Nancy!!Watu wafupi huwa wanalaziimisha sana...Huyo MB Dog aende kwa Linah Sanga...Wataendana kuanzia vigimbi mpaka ukomavu
Mhh, mbona unakwenda mbali sana!
 
Back
Top Bottom