Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
Harusi imefungwa KKKY USHARIKA WA NGARENARO ARUSHA ,halafu cha kusikitisha ni kuwa hii ndoa haikuwahi kutangazwa kanisani hata mara moja, watu wenyewe si wenyeji wa usharika huo sijui kwa nini hakufungia huko usa, au kwa kuwa bi mkubwa nae kwao ni usa akajua wachaungaji wangesthukia mchezo?! Ila jana pale kanisani iliacha maswali mengi sana watu wanahisi huyu mchungaji aliefungisha ni wa familia au amehongwa, maana haikufuata utaratibu wowote wa kutangaza ndoa.
Mchezo gani ambao ungeshitukiwa?
Bongo noma