Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Eeeh Nancy ni "mzuri", hanaga makorombwezo. Hili group wana "class", kugombana ni kawaida kwa binadamu, naamimi kuna muda wanatofautina, but what matters ni kwamba wanasolve issue zao maturely. No drama at all, fausta si nasikia walimtoa kwenye group sijuiMake up bila make up huyu dada mzuri.na mashoga zake classic fulani hivi.husikii mikwaruzano wala skendo. Hongera zake
Hhehehe my crazy cousin sis anasemaga yeye siku ya harusi yake, hadi ndugu atatukagua nguo zetu mapema, asiporidhika unabadilisha lolHehehe!, bi harusi akanuna akaona hii sasa imekuwa Shughuli, matron kupambika zaidi.
Lakini ni muhimu ku vet hata wasimamizi.
Niliona ma bi harusi wanafanya hivi, halafu wana suggest mpaka nguo ya mtu, sikujua kwa nini now I know.
Lakini I agree, kama harusi ni yako I believe you have all rights to do it the way, you, want it done.
It's one and only, special and most important day of your life. So gaal!, hell yea!, I believe you can do whatever you wish.
[emoji23][emoji23][emoji23] wanakulazimisha uwalipie nauli as if uliwalazimisha waje kuserebuka kwa harusi yako [emoji23][emoji23][emoji23]umeongea ndugu tena nyingine baada ya harusi wanaanza kugongea nauli za kurudi mkoani.....
Hongera sana Nancy Sumari kwa kufunga ndoa. Nawatakia maisha mema ya ndoa mkiwa sasa Mr and Mrs. Mlipendeza sana good Picture.
Inamaana Nakaya angeharibu picha au? Hawa wadada wa show off buana.. ndoa yenyewe kwa Nancy kakwiba mali ya watu na bado anaringia blood sister!
Una tatizo?Mbona kama usariver hapo, zamani tanzanite!
Sijamuona hata Dada yake Nakaaya Sumari...Hivi bifu lao bado halijaishaga ehh..
Una uhakika hakuhudhuria?Watu wadai Luca alikuwaga wa nakaaya. Ila hapo tu kwa sista ake kutokuhudhuria kuna jambo aisee naona Nancy hu mind mashosti kuliko ndugu.
Kumbe nawe umeona nilichoonaKapendeza sana na hongera ila Nancy inaonyesha ana mind marafiki kuliko ndugu sijawahi ona mmeru huyu ana roho ngumu aisee.
Alikuwepo.....Watu wadai Luca alikuwaga wa nakaaya. Ila hapo tu kwa sista ake kutokuhudhuria kuna jambo aisee naona Nancy hu mind mashosti kuliko ndugu.
Mdogo wake Patra ndo alikuwa best yake, humuoni hapo kwa picha, jaman tusikuze mamboAlikuwepo.....
Sema it seems no mzuka as marafiki ndio wanechukua nafasi ya ndugu....chezea status mjini wewe
hahaahahhaha et MB Paka!!!Kumbe bado.. ngoja nijikakamue ila sitatoa masongi kama MB Paka...!
Tumsifu Yesu kristuNi eden