muongozaji
JF-Expert Member
- Oct 9, 2009
- 1,386
- 1,001
Kitu kama mamtoni flan hivi kwa malkia. Respet to chuga baby!Nimeamini Arusha kuna maeneo ni kama Ulaya.
Nadhani hukunielewa niliye mu quote, anyway thanks kuondoa utata Dada mtuUna uhakika hakuhudhuria?
ARUSHA kama ULAYA jamani SCENE imetuliaaaa .
Hhehehe my crazy cousin sis anasemaga yeye siku ya harusi yake, hadi ndugu atatukagua nguo zetu mapema, asiporidhika unabadilisha lol
Napenda wale maharusi ambao wanawaandalia wazazi wao wote nguo sawa. It's better kufanya hivyo kama huna uhakika na choices zao. Yani kuna harusi unakuta wazazi wa bi harusi wamependezaaa afu wa bwana harusi mmmh, or vice versa.
Kwa kweli ile ni big day ya mtu, afanye tu mwenyewe anavyotaka, nafsi yake ifurahi.
umekata mzizi wa fitna,watu humu kwa kujifanya wanafahamu wengine kiboko........
Teh!Kakope 7milns ziwe mkononi mapemaaa
Yeah white was her colour. Na naona wengi wanadare kuvaa white siku hizi. Wachache walianza kuvaa white Na maids zao only, baadaye ndo wakaanza na all white everything theme. Hivi shamim wa 8020 fashion kama sikosei her guests wedding colour was white also. Nimeona few harusi broke the rule also Kwa kuvaa white kama nakumbuka Solange Knowles did all white pia.Hahah!, eti atakagua nguo za ndugu, that's funny.
Ni kweli, colour coordination kwa upande wa wazazi inapendezesha zaidi harusi.
Halafu for Nancy, seems like White was her theme.They wore white for the send-off, halafu hapa hata wasimamizi wako in white pia. Hii rangi yataka moyo lakini, especially, if it's 'everything white'
Naona ule mwiko wa (never wear white if the wedding is not yours) is not applicable anymore.
But I guess it's okay to wear white as long as the bride approves. And for this case, I think it was the colour of the wedding.
Mzee anakaba mpaka penati[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaah watanzania Tuna Stress Mpka Kero
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hehehhee sitaki kucheka mimi. She has guts kwa kweli, pamoja na flavy afu still mtu anapendeza hivyo dooh
Umenikumbusha kuna mdada alileta story yake humu. Aliombwa awe matron harusi ya family friend . Bi harusi alikuwa wa mikoani kwetu and they never knew each other hadi siku ya harusi, na bi harusi nafikiri gauni lake alitoka nalo huko kwao. Matron huyo hadi kwa Eve collection kudesign jigauni and it seems like she was more beautiful than bi harusi, mbona matron alinuniwa na bi harusi siku yenyewe lol. (Me matron ntamchagua mwenyewe mwenzangu, sherehe yako ila kila mtu macho kwa matron akhaaaa)
Kumbe hawaelewani na dadake? Daah hizi hela zinatia watu uchiziInamaana Nakaya angeharibu picha au? Hawa wadada wa show off buana.. ndoa yenyewe kwa Nancy kakwiba mali ya watu na bado anaringia blood sister!
Hehehe yani mnaingia ukumbini, all eyes kwa matron akhuuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahah!, eti atakagua nguo za ndugu, that's funny.
Ni kweli, colour coordination kwa upande wa wazazi inapendezesha zaidi harusi.
Halafu for Nancy, seems like White was her theme.They wore white for the send-off, halafu hapa hata wasimamizi wako in white pia. Hii rangi yataka moyo lakini, especially, if it's 'everything white'
Naona ule mwiko wa (never wear white if the wedding is not yours) is not applicable anymore.
But I guess it's okay to wear white as long as the bride approves. And for this case, I think it was the colour of the wedding.
mko vizuri nyie kina Asia idorousHehehe yani mnaingia ukumbini, all eyes kwa matron akhuuu