Nancy Sumari is officially Mrs. Neghesti

Hapo zamani niliamini kuwa ukiwa mkubwa unafaidi tu!! Lkn mambo ni kinyume na matarajio!! ukubwa tayari!!. Sasa hivi ukiwa na pesa!! shikamoo pesa.
Ila mola jalia muungano wao uwe imara kuliko wa!! UK
Pole mjukuu wangu kwa kuchelewa kulijua hili.
Kama babu nilipaswa kukujuza mapema,sasa wewe usifanye hivyo kwa wajukuu.
 
Hivi huyu jamaa ndio Luca yule wa kitambo au huyu mwingine
 
hiyo ndoa imefungwa kanisa gani,picha tafadhalia ambazo wapo kanisani???
Harusi imefungwa KKKY USHARIKA WA NGARENARO ARUSHA ,halafu cha kusikitisha ni kuwa hii ndoa haikuwahi kutangazwa kanisani hata mara moja, watu wenyewe si wenyeji wa usharika huo sijui kwa nini hakufungia huko usa, au kwa kuwa bi mkubwa nae kwao ni usa akajua wachaungaji wangesthukia mchezo?! Ila jana pale kanisani iliacha maswali mengi sana watu wanahisi huyu mchungaji aliefungisha ni wa familia au amehongwa, maana haikufuata utaratibu wowote wa kutangaza ndoa.
 
Ni Uzbekistan lodge hiyo karibu na stend ya mabasi nyuma ya uwanja wa sheh Amri Abeid.
 
Nimewaona ma miss Tz wa zamani ,Wema Sepetu sijamuona hapo.
 
Daah..Mkuu hebu tupe picha za Kanisani..
 
Daah..Mkuu hebu tupe picha za Kanisani..
Wala sikupiga picha mkuu, nilikuwa kanisani kwa ajili ya maombi ndio tunashtuka bi harusi anaetoka ni Nancy, ilikuwa kimya kimya hana mbwembwe wala msururu wa magari, tukabaki kujiuliza mbona hii ndoa hatukutangaziwa?! basi tukaendelea na yetu.
 
Duuhh!!bongo ukiwa na pesa +fame u can move the mountain!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…