Jerry Rebiam
JF-Expert Member
- May 22, 2016
- 402
- 358
- Thread starter
-
- #41
Mwanangu umemia utafikil we ni billnass billnassBasi mleta mada wewe ndiyo tajiri kuliko wote.
Ipi hiyo?Movie inaendelea
Daaah sawa boss nyi wa mikoan mnafanya ninNyie wanaume wa dar ndio kazi zenu mnashinda vijiweni since morning till evening mnajadili fulan anahela sjui fulani asema ye anahela kuliko fulani
Tafuta na wewe za kwako
Mwisho atasema amekuzid na wewe Tajiri kichwa
Nahisi wewe ndio umedata Kwenye interview sijaskia wanaongelea hayo uloyaandika na hakutaja list ya wasanii zaidi yake na aslayJamani naanza kuona nandy akiweka Akili chini na kuanza kutumia matope.
Huyu dada kafanya interview kwenye The playlist ya Times Fm na amesema eti akitaja wasanii watano matajiri Tanzania basi Aslay ni wa tatu na yeye ni wa nne
Kweli Nandy na Aslay wana hela kuliko wasanii hawa
Diamond
Alikiba
Prof JAY
AY
LADY JAYDEE
HARMONIZE
RAYVAN
MWANA FA
RICH MAVOKO
Nandy tuombe radhi au tukuombee labda umeanza kudata
Jamani naanza kuona nandy akiweka Akili chini na kuanza kutumia matope.
Huyu dada kafanya interview kwenye The playlist ya Times Fm na amesema eti akitaja wasanii watano matajiri Tanzania basi Aslay ni wa tatu na yeye ni wa nne
Kweli Nandy na Aslay wana hela kuliko wasanii hawa
Diamond
Alikiba
Prof JAY
AY
LADY JAYDEE
HARMONIZE
RAYVAN
MWANA FA
RICH MAVOKO
Nandy tuombe radhi au tukuombee labda umeanza kudata
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]bado naufikiria mjupi kila akitajwa
Labda tajiri wa chupiHata Kassim Mganga ni tajiri wa mahaba, Nandy kasema yey ni tajiri wa nini?
Mbona nyandu tozi hayupo kwenue list hapo??Jamani naanza kuona nandy akiweka Akili chini na kuanza kutumia matope.
Huyu dada kafanya interview kwenye The playlist ya Times Fm na amesema eti akitaja wasanii watano matajiri Tanzania basi Aslay ni wa tatu na yeye ni wa nne
Kweli Nandy na Aslay wana hela kuliko wasanii hawa
Diamond
Alikiba
Prof JAY
AY
LADY JAYDEE
HARMONIZE
RAYVAN
MWANA FA
RICH MAVOKO
Nandy tuombe radhi au tukuombee labda umeanza kudata
Mwanzisha siredi anayumbaMbona nyandu tozi hayupo kwenue list hapo??
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]bado naufikiria mjupi kila akitajwa
Wamikoan saiv tunauza vitunguu kilo 2400 yani net ya 75 kgs ni laki na themanini yani fuso singo gunia 80 ni milion 14 na laki nne sjui km wewe na wanaume wenzako wa dar mmeingiza hizo kwa siku ya leoDaaah sawa boss nyi wa mikoan mnafanya nin
[emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]bado naufikiria mjupi kila akitajwa