Nandy adai yeye na Aslay ni miongoni mwa wasanii watano matajiri zaidi Tanzania

Nandy adai yeye na Aslay ni miongoni mwa wasanii watano matajiri zaidi Tanzania

Nyie wanaume wa dar ndio kazi zenu mnashinda vijiweni since morning till evening mnajadili fulan anahela sjui fulani asema ye anahela kuliko fulani

Tafuta na wewe za kwako
Daaah sawa boss nyi wa mikoan mnafanya nin
 
siku anavuliwa chupi na BILLNAS atakua alipewa na utajiri pia😀😀😀😀😀
 
Jamani naanza kuona nandy akiweka Akili chini na kuanza kutumia matope.

Huyu dada kafanya interview kwenye The playlist ya Times Fm na amesema eti akitaja wasanii watano matajiri Tanzania basi Aslay ni wa tatu na yeye ni wa nne

Kweli Nandy na Aslay wana hela kuliko wasanii hawa

Diamond

Alikiba

Prof JAY

AY

LADY JAYDEE

HARMONIZE

RAYVAN

MWANA FA

RICH MAVOKO

Nandy tuombe radhi au tukuombee labda umeanza kudata

Nahisi wewe ndio umedata Kwenye interview sijaskia wanaongelea hayo uloyaandika na hakutaja list ya wasanii zaidi yake na aslay

"Lilommy: umemention hapa aslay kama ni moja ya wasanii wanaoingiza mkwanja sana
nandy: mhh!
Lil ommy:kama ingetokea kum rate utampa nafasi ya ngap tunaonaga mbele wanatoa list za wasani wenye mkwanja na nini
nandy : aa mhh aa kwenye aam unipe sasa kwenye top ngap top twenty au nimuweke kwny nafas gan
lilommy: kwny top five
nandy: top five
lilommy: yeah
nandy : naeza nikamuwka kweny no 3 ommy: no 3
nandy : eee
Lilommy : wakwanza?
nandy: ahahaa siwez kumtaja wa kwanz ahaha no 3
Lilommy : ohyeah wa pili ni nani
nandy: siwez kutaj wa kwanza au wa pili ila ni no 3
Lilommy : wewe unajiwek kwneye nafas ya ngap
nandy ya 4 "
Watu wanamishe zao tofauti mjini zinazo waingizia pesa so think big
 
Bangi mbaya sana!! Bilnass kabla hujasukuma mbolea kwa uyo dogo acha kumvutisha bangi
 
Jamani naanza kuona nandy akiweka Akili chini na kuanza kutumia matope.

Huyu dada kafanya interview kwenye The playlist ya Times Fm na amesema eti akitaja wasanii watano matajiri Tanzania basi Aslay ni wa tatu na yeye ni wa nne

Kweli Nandy na Aslay wana hela kuliko wasanii hawa

Diamond

Alikiba

Prof JAY

AY

LADY JAYDEE

HARMONIZE

RAYVAN

MWANA FA

RICH MAVOKO

Nandy tuombe radhi au tukuombee labda umeanza kudata

Rich mavoko Ana pesa gan na wewe , hata gar anagongea mxieew
 
Jamani naanza kuona nandy akiweka Akili chini na kuanza kutumia matope.

Huyu dada kafanya interview kwenye The playlist ya Times Fm na amesema eti akitaja wasanii watano matajiri Tanzania basi Aslay ni wa tatu na yeye ni wa nne

Kweli Nandy na Aslay wana hela kuliko wasanii hawa

Diamond

Alikiba

Prof JAY

AY

LADY JAYDEE

HARMONIZE

RAYVAN

MWANA FA

RICH MAVOKO

Nandy tuombe radhi au tukuombee labda umeanza kudata

Mbona nyandu tozi hayupo kwenue list hapo??
 
Back
Top Bottom