Nandy adai yeye na Aslay ni miongoni mwa wasanii watano matajiri zaidi Tanzania

Nahisi wewe ndio umedata Kwenye interview sijaskia wanaongelea hayo uloyaandika na hakutaja list ya wasanii zaidi yake na aslay

"Lilommy: umemention hapa aslay kama ni moja ya wasanii wanaoingiza mkwanja sana
nandy: mhh!
Lil ommy:kama ingetokea kum rate utampa nafasi ya ngap tunaonaga mbele wanatoa list za wasani wenye mkwanja na nini
nandy : aa mhh aa kwenye aam unipe sasa kwenye top ngap top twenty au nimuweke kwny nafas gan
lilommy: kwny top five
nandy: top five
lilommy: yeah
nandy : naeza nikamuwka kweny no 3 ommy: no 3
nandy : eee
Lilommy : wakwanza?
nandy: ahahaa siwez kumtaja wa kwanz ahaha no 3
Lilommy : ohyeah wa pili ni nani
nandy: siwez kutaj wa kwanza au wa pili ila ni no 3
Lilommy : wewe unajiwek kwneye nafas ya ngap
nandy ya 4 "
Watu wanamishe zao tofauti mjini zinazo waingizia pesa so think big
Mkuu so kwamba sijaelewa interview ila kama anaona top 5 hafit angesema tu so kudanganya na hapa town ana nyimbo 6
 
Wamikoan saiv tunauza vitunguu kilo 2400 yani net ya 75 kgs ni laki na themanini yani fuso singo gunia 80 ni milion 14 na laki nne sjui km wewe na wanaume wenzako wa dar mmeingiza hizo kwa siku ya leo
Mkuu una tabu kweli huwez kujisifu na biashara ya vitunguu

Mikoani bana
 
Hivi kama huyu dada angekuwa tajiri angevaa kachupi kama dekio jamani? Ila Nandy ni mtamu sema nguo za ndani tuu ndio anashindwa kujua anunulie duka gani all in all Bill Nas alipata shimo la kumalizia mauchafu yake ya mwilini
 
Mtangazaji: Nandy kwenye kombe la dunia timu gani unaiombea ushindi?

Nandy: aaam, Liverpool, naipenda sana Liverpool.

Ha ha ha, Liverpool sasa kila mtu anaipenda.

Kila kijiwe ni Mohamed Salah!

Nandy na Lulu Diva ni weupe kichwani, niliwahi kuona Youtube kwa Jonijoo kwenye Now You Know, maswali ya kitoto sana walizingua.
 
Lulu Diva sijawahi hata kumfatilia maana ndio simuelewi kabisaaa,

Ila Nandy anatia huruma maana hajui kabisa kujieleza.
 
Huwa mara chache namsikiliza Jonijoo maana huwa anawauliza maswali sometimes ya papo kwa papo, kwa hiyo unakuta kama ni kilaz.a anazingua.
 
Mkuu so kwamba sijaelewa interview ila kama anaona top 5 hafit angesema tu so kudanganya na hapa town ana nyimbo 6
Sio kwamba anadanganya ila alichokifanya Kwenye muziki majigambo ni kitu cha kwaida kabisa isitoshe ukiweka list ya wasnii wanaopiga shows nyingi Nandy huwezi acha kumtaja
:::::::::::::::::::::;:::::

Nandy ataja kinachompa pesa tofauti na muziki

FRIDAY , 24TH FEB , 2017

Msanii muziki wa bongo fleva mwanadada Nandy amebainisha kuwa yeye ni miongoni mwa wasanii nchini Tanzania wanaoingiza kipato cha juu bila ya kutegemea muziki.

Mrembo huyo amesema kuwa amefungua kampuni yake binafsi inayojihusisha na utengenezaji wa nguo za kitenge, mikoba, nguo za harusi pamoja na mavazi mengine ya utamaduni inayojulikana kwa jina la Nandy African Print.

"Nilianza ujasiriamali tokea nipo chuo kabla masuala ya muziki hayajachanganya vizuri nilikuwa naenda kununua nguo Kariakoo halafu ninazipamba vizuri kwa kutumia vitu vya asili".Alisema Nandy

Aidha msanii huyo amesema mpaka sasa ameweza kutoa ajira kwa watu watano ambao ni mafundi wanajishughulisha na utengenezaji wa nguo za asili yaani mafundi cherehani.

"Sijakurupuka kufungua kampuni yangu kwani nilijipanga muda mrefu tokea kipindi ninashiriki mashindano ya muziki nchini 'Nigeria' nikasema nikishinda lazima nitimize lengo langu la muda mrefu, nilianzia na mtaji wa milioni 10 kwa ajili ya kununulia vifaa pamoja na kulipia kodi".Alisema msanii huyo

Kwa upande mwingine msanii huyo alisema malengo ya kampuni yake ni kuhudumia ndani na nje ya nchi kwa kutoa mavazi ya asili yenye ubora zaidi."

unaweza sema kwa biashara hii anayofanya Ni bado hastahili kuwa top 4 Ni kweli lakini jiulize anmishe gani zingine anazopiga kimyakimya bila kuzitangaza au kujulikana?
kina Diamond/Allikiba nawengine ulowataja hapo juu unadhani pesa walizonazo zinatoka kwenye shows /matangazo na muziki pekee fatilia watu kama jay moe. Nyandu tozz jux na wengineo sio watu wanao tegemea muziki pekee wanaharakati zao zingine tofauti kabisa na wanapiga money ya kutosha
 
Vip anaepambana sana kusoma ila hatoboi kwenye pepa !! ? Nae inabid tumheshimu ?

Historia siku zote humuenzi aliefanikiwa na sio aliepambana vzur
Sio lazima kumheshim ila mi ntamheshim
 
Mkuu hela haijifichi ndo mana pamoja na hide kutopata promo kubwa ila utajir wake unaonekana...hata nyandu hana u star huo ila pesa yake inaonekan na hata jay moe ni hivo hivo

Kuhusu majigambo ni kwel kawaida ila nandy anakosea mda wa kufanya hivo...angesubir at least hata hili la billnas liishe ndo àanze kuleta drama za mziki....hasa drama zinazoleta mitazamo hasi kama hili....at least angeongeza ngoma Kali kama ninogeshe
 
Back
Top Bottom