Ni kweli japo huo umevuka mipaka.Wanawake wa mjini mna ubunifu sana.
Haya mambo hayanaga cha utumishi mkuu... unaweza kujikuta umeshaingia kwenye 1 na 2....Nilijua watumishi wa injili miili yenu mtakufa kama Yesu..
Sasa wewe unazungumzia Nyege tena mtumishi utakaza kweli?
Sasa nimekuelewa ..Haya mambo hayanaga cha utumishi mkuu... unaweza kujikuta umeshaingia kwenye 1 na 2....
Hatari mkuu... ni kujikaza tu...Sasa nimekuelewa ..
Hata hivo juzi nilikutana na sister kaiva kama dodo nkasema heee watumishi mnakazi sana .
😂😂😂Sawa ni rangi ya ngozi kwanini imbane kama pundamlia aliyenenepa!
Hamna futa hapo kwenye megawatiKazi Ipo Jamaa Kaolewa
Kumbuka Wakuu Wanamezea Mate Futa 😆😃😂😅🥕
Hii inakuwa kama ile waliovaa video vinex kwenye nyimbo ya kokoro rich maviko ft diamondRangi ya ngozi?
Hakuna mtumishi hapo kuna msanii tuNilijua watumishi wa injili miili yenu mtakufa kama Yesu..
Sasa wewe unazungumzia Nyege tena mtumishi utakaza kweli?🤣🤣
Ndio uone kaenda nayo basata wakapakague hapo peusi ulipopaona je kweli ni papa lake au ni niniSawa tukubali rangi ya ngozi yake.
Enheee kwanini sasa pale kati palionekana kweusi?
Au ndo rangi ya 'ngozi' aliyoimaanisha?
Nimeku-miss Hajrat...!Hivyo alijisikia tu kuvaa nguo yenye kuleta taharuki. Lol