Psalm_27
JF-Expert Member
- Aug 27, 2026
- 1,648
- 3,290
Asante sana mkuu....Duuh mtumishi pole sana
Oa sasa
Asante sana mkuu....Duuh mtumishi pole sana
Oa sasa
😹😹Sawa ni rangi ya ngozi kwanini imbane kama pundamlia aliyenenepa!
Indeed! shida ni kuzi control... mkuuKupata nyege isnt imperfection. Actually it is a sign of perfection.
Nchi ya vituko vituko, mambo ya msingi hayakemwewi na mamlaka ila kwenye upuuzi upuuzi kiherehere ni top notch!Hii nchi ingekuwa na maadili kama raia wake wanavyoimba maadili tusingekuwa hapa!
Ustaarabu au madili ya mTz unaishia kwenye mavazi tu.Nchi ya vituko vituko, mambo ya msingi hayakemwewi na mamlaka ila kwenye upuuzi upuuzi kiherehere ni top notch!
Wenzio wanapenda sana kuleta taharuki na kuongelewa kama hivi.Mwanamuziki Nandy amevunja ukimya baada ya kukutana na walezi wa sanaa BASATA kufuatia mjadala mkubwa wa vazi alilovaa kwenye fainali za Miss Universe.
Nandy amefafanua kuwa hakuwa utupu kama wengi walivyodhani, bali vazi hilo lilitengenezwa kwa kitambaa kinachofanana na rangi ya ngozi yake.
Amesema alienda BASATA akiwa na nguo hiyo kuionyesha, na amelishukuru baraza hilo kwa mazungumzo ya kujenga.
"Mimi ni binti wa Kitanzania siwezi kukaa utupu wa kiasi kile, ni ubunifu tu! Siku nyingine msistukee," amemalizia Nandy huku akiwatoa hofu mashabiki zake waliopata taharuki.
#Nandy #BASATA #Burudani #Mitindo #Tanzania
View attachment 3675956
SawaLakini umbo la K lilikua linaonekana vizuri...
Bado nguo haina maadili.
Nadhani tunapishana tu coz nipo pia. Thanks...!Nipo jamani. Mmekumiss pia.
Ulipotelea wapi? Au ndo tunapishana?
mke wangu ATA mwanangu siwezi kuja kumruhusu kuonesha utam hadharan kama iv..
Ni kweli.Nadhani tunapishana tu coz nipo pia. Thanks...!
Wakati ni mbaya rafiki yangu nimepata ajali nipo Mt. Meru Hosp since last Saturday. ALHAMDULILLAH.Ni kweli.
Haya nikutakie wakati mzuri. 🙏