cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,077
- 46,549
Kazi kweli kweliMsanii ni kama mfanya biashara, full of stress.. ila mfanya biashara ana hesabu za mbali na akizingatia RM kitu amabacho wasanii wanakosa na ndio maana maanguko yao hutia huruma ,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kazi kweli kweliMsanii ni kama mfanya biashara, full of stress.. ila mfanya biashara ana hesabu za mbali na akizingatia RM kitu amabacho wasanii wanakosa na ndio maana maanguko yao hutia huruma ,
Hahaaa kweli Ila tulishambuliwa Sana, jamani uchawi upo na unatenda kazi vizuri tu kwa kweli, na jamaa alikuwa na timing nzuri kweli
Acha bwana mpongeze bwana Dada Kama yule umri Kama ule anamaisha Bomba si ya kudanga dah ujamtendea hakiAhah ahah lol , hii nyumba inaonekana ni ya wale matajir wa enzi za mwalimu, enzi hizo Ndo ilikua mjengo babkubwa, na hapo wame renovate , jumba shapeless kama maziwa ya Masha
But ukimuamgalia tu usoni Hana furaha na ana mawazo mengi Sana kichwani, Diamond anahitaji ushauri wa kisaikolojia naona Kuna vitu anapitia vinamtafuna ndani kwa ndani na wengine hawalioni Hilo. He needs help
Na amepita kiurahisi ka kumsukuma mlevi, dah Mimi siendi kwa waganga Ila mtu akimuumiza ndugu yangu wa damu ningemfungia kazi akome hata ka Ni kwenda kwa wachawi wakubwa wallahBila uchawi yule mbwa asingepita, hana sifa Hata robo , yan pale akina FA ndo unaweza sema yule hat bila uchawi anapita Coz ana CV na unaona kabisa anafaa, huyo mwenzangu na mimi ndondocha kichwan hamna kitu ilikua lazima afanye ushirikina wa hali ya juu ndio apite maana hana Kigezo chochote
Yan mke wa tale angekua dada angu huyo mbwa angekoma manina zake, halafu hat alipokua anaenda kuchuku form lisura lake tu lipo guilt mbwa huyo muuaji mkubwa
Hatari Sana yaniWambea c tulisema atapita, unacheza na nguvu ya kafara nini
MNICHANGIEEEEEE UTAWASIKIA
ova
Ni hatari Sana Sasa asije hamia kwa watoto, maana kafara hufata zilizo kubwa zaidi, Ila huyu Tale vile Ni darasa la Saba angekuwa na elimu ya Mwana Fa kwa kafara zake angekuwa hata waziri. Mwana FA asipopata hata unaibu waziri wa michezoBinadam tuna nguvu za kiroho , na wanasemaga face is the mirror of mind, ukimuangalia tu tale usoni kwa makini utagundua kitu , Tale mchawi sana mbwa huyo , halafu ubaya watu kama hawa wanakulaga maisha sana na wanaishi miaka mingi, wengi wao hawana mwisho mbaya wanaishia tu kupoteza roho za watu
Unajua maan ya demu? Then deal na maisha yako, km wee n bingwa wa kuunganisha mapenzi nadhan ungejiunga nae wee mwenyewe au ungemu unganisha na ndugu yako. Hovyoooooooh msieeeeeewMzee baba kuna demu yupo humu anakuelewa kinyama, naomba nikuunganishe naye myajenge
Ile siku tulishambuliwa had baas lol, leo wanajionea wenyeweehWambea c tulisema atapita, unacheza na nguvu ya kafara nini
Unamuogopa huyo manzi ?Unajua maan ya demu? Then deal na maisha yako, km wee n bingwa wa kuunganisha mapenzi nadhan ungejiunga nae wee mwenyewe au ungemu unganisha na ndugu yako. Hovyoooooooh msieeeeeew
Hivi wee mbona unakua hujielew? Mada inahusu vitu vingine na wee unaleta vingine? Khaaaah hebu kua kwanza kwan vipi? Nimekujibu km wee n bingwa wa kuunganisha mapenzi, ungeunga nae wee, au ndugu yako.Unamuogopa huyo manzi ?
Wambea c tulisema atapita, unacheza na nguvu ya kafara nini
Mbona sentensi yangu moja tu inakupanikisha kiasi hicho. Tatizo nini ?Hivi wee mbona unakua hujielew? Mada inahusu vitu vingine na wee unaleta vingine? Khaaaah hebu kua kwanza kwan vipi? Nimekujibu km wee n bingwa wa kuunganisha mapenzi, ungeunga nae wee, au ndugu yako.
Nakushangaa wee nilishakupa jibu, then unaendelea kuuliza ulitaka iweje?Mbona sentensi yangu moja tu inakupanikisha kiasi hicho. Tatizo nini ?
Narudia tena. Ulishawahi ona mtu tajiri sana akitafuta kiki? Watu wanamheshimu tu naturally sababu ya mavituz anayofanya. Pambana ufanikiwe kijana, na hautahitaji kuweka picha feki kupata sifa.Mmiliki wake ni nani sasa? Au ilijijenga yenyewe?
nikisoma comment yako inabd nirudi juu kuangalia tena hiyo nyumba...Ahah ahah lol , hii nyumba inaonekana ni ya wale matajir wa enzi za mwalimu, enzi hizo Ndo ilikua mjengo babkubwa, na hapo wame renovate , jumba shapeless kama maziwa ya Masha