Nandy aonyesha jeuri ya Pesa

Nandy aonyesha jeuri ya Pesa

Hahaaa kweli Ila tulishambuliwa Sana, jamani uchawi upo na unatenda kazi vizuri tu kwa kweli, na jamaa alikuwa na timing nzuri kweli

Bila uchawi yule mbwa asingepita, hana sifa Hata robo , yan pale akina FA ndo unaweza sema yule hat bila uchawi anapita Coz ana CV na unaona kabisa anafaa, huyo mwenzangu na mimi ndondocha kichwan hamna kitu ilikua lazima afanye ushirikina wa hali ya juu ndio apite maana hana Kigezo chochote

Yan mke wa tale angekua dada angu huyo mbwa angekoma manina zake, halafu hat alipokua anaenda kuchuku form lisura lake tu lipo guilt mbwa huyo muuaji mkubwa
 
Ahah ahah lol , hii nyumba inaonekana ni ya wale matajir wa enzi za mwalimu, enzi hizo Ndo ilikua mjengo babkubwa, na hapo wame renovate , jumba shapeless kama maziwa ya Masha
Acha bwana mpongeze bwana Dada Kama yule umri Kama ule anamaisha Bomba si ya kudanga dah ujamtendea haki
 
But ukimuamgalia tu usoni Hana furaha na ana mawazo mengi Sana kichwani, Diamond anahitaji ushauri wa kisaikolojia naona Kuna vitu anapitia vinamtafuna ndani kwa ndani na wengine hawalioni Hilo. He needs help

Binadam tuna nguvu za kiroho , na wanasemaga face is the mirror of mind, ukimuangalia tu tale usoni kwa makini utagundua kitu , Tale mchawi sana mbwa huyo , halafu ubaya watu kama hawa wanakulaga maisha sana na wanaishi miaka mingi, wengi wao hawana mwisho mbaya wanaishia tu kupoteza roho za watu
 
Bila uchawi yule mbwa asingepita, hana sifa Hata robo , yan pale akina FA ndo unaweza sema yule hat bila uchawi anapita Coz ana CV na unaona kabisa anafaa, huyo mwenzangu na mimi ndondocha kichwan hamna kitu ilikua lazima afanye ushirikina wa hali ya juu ndio apite maana hana Kigezo chochote

Yan mke wa tale angekua dada angu huyo mbwa angekoma manina zake, halafu hat alipokua anaenda kuchuku form lisura lake tu lipo guilt mbwa huyo muuaji mkubwa
Na amepita kiurahisi ka kumsukuma mlevi, dah Mimi siendi kwa waganga Ila mtu akimuumiza ndugu yangu wa damu ningemfungia kazi akome hata ka Ni kwenda kwa wachawi wakubwa wallah
 
Binadam tuna nguvu za kiroho , na wanasemaga face is the mirror of mind, ukimuangalia tu tale usoni kwa makini utagundua kitu , Tale mchawi sana mbwa huyo , halafu ubaya watu kama hawa wanakulaga maisha sana na wanaishi miaka mingi, wengi wao hawana mwisho mbaya wanaishia tu kupoteza roho za watu
Ni hatari Sana Sasa asije hamia kwa watoto, maana kafara hufata zilizo kubwa zaidi, Ila huyu Tale vile Ni darasa la Saba angekuwa na elimu ya Mwana Fa kwa kafara zake angekuwa hata waziri. Mwana FA asipopata hata unaibu waziri wa michezo
 
Mzee baba kuna demu yupo humu anakuelewa kinyama, naomba nikuunganishe naye myajenge
Unajua maan ya demu? Then deal na maisha yako, km wee n bingwa wa kuunganisha mapenzi nadhan ungejiunga nae wee mwenyewe au ungemu unganisha na ndugu yako. Hovyoooooooh msieeeeeew
 
Unajua maan ya demu? Then deal na maisha yako, km wee n bingwa wa kuunganisha mapenzi nadhan ungejiunga nae wee mwenyewe au ungemu unganisha na ndugu yako. Hovyoooooooh msieeeeeew
Unamuogopa huyo manzi ?
 
Unamuogopa huyo manzi ?
Hivi wee mbona unakua hujielew? Mada inahusu vitu vingine na wee unaleta vingine? Khaaaah hebu kua kwanza kwan vipi? Nimekujibu km wee n bingwa wa kuunganisha mapenzi, ungeunga nae wee, au ndugu yako.
 
Mbona sentensi yangu moja tu inakupanikisha kiasi hicho. Tatizo nini ?
 
Mbona sentensi yangu moja tu inakupanikisha kiasi hicho. Tatizo nini ?
Nakushangaa wee nilishakupa jibu, then unaendelea kuuliza ulitaka iweje?
Ndo nimekupa maelezo hayo sasa km umeona n panick hiyo juu yako.
 
Mmiliki wake ni nani sasa? Au ilijijenga yenyewe?
Narudia tena. Ulishawahi ona mtu tajiri sana akitafuta kiki? Watu wanamheshimu tu naturally sababu ya mavituz anayofanya. Pambana ufanikiwe kijana, na hautahitaji kuweka picha feki kupata sifa.
Jibu la swali lako: Gran Melia Arusha is a new addition to the extensive collaboration between Meliá Hotels International and Albwardy Investment LLC, the owner Company of the hotels. Meliá Hotels International already successfully operates five Albwardy hotels: Meliá Zanzibar and Meliá Serengeti Lodge in Tanzania, Gran Meliá Iguazu in Argentina, Meliá London Kensington in the United Kingdom, and Meliá Desert Palm also in Dubai.
 
waswahili bwana..kwanini hua mnasikia uchungu mkubwa sana mwingine akifanikiwa maisha
 
Ahah ahah lol , hii nyumba inaonekana ni ya wale matajir wa enzi za mwalimu, enzi hizo Ndo ilikua mjengo babkubwa, na hapo wame renovate , jumba shapeless kama maziwa ya Masha
nikisoma comment yako inabd nirudi juu kuangalia tena hiyo nyumba...

hapo hujaongelea uwanja "eneo" la nnje,ukipga hatua 1,2 ya tatu upo getini....
 
Back
Top Bottom