Nandy athibitisha uhusiano wake na Ruge

Nandy athibitisha uhusiano wake na Ruge

Utakua kwenye chain wewe si kwa povu hili acha unafiki ww unadhsni ww ni mkamilifu sana?? unajifanya husengenyi ila mimacho kodoo kwenye kila comment ya mtu unafanya nini hapo?? unaweza ukawa humsemi mtu ila una roho mbayaa kama msaga sumu. Na ulivyo mmbea eti unaorodhesha vitu hapo sasa mm na ww tunatofauti gani. Halafu umelazimishwa kuwa jukwa hili?? Nyie ndo viruka njia upo popote kila jukwaa unaponda kwa sababu huna cha kuchangia huna Contents zozote. Hebu niache bwana kila mtu yuko kivyake humu tusifuatiliane. Inaonekana yanayosemwa humu yankuumiza sana au na ww ni mmoja wao? Ungejificha basi si kwa kuja na ukali huu
Hakika nimepiga ikulu.Kaa utulie dawa ikuingie..
Samahani lakini.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kutuchimba mkwara....Issue hapa ni nandy kuwaza nitoke vip mana kipaji hana ni promo tuu ya ruge ambaye sasa hayupo.....Hzo ngojera zingine achana nazo kwanza

sawa,katika imañi hakuna haja ya kubishana maana si mambo yanayoonekana ila impact yake huwa inaonekana
 
  • Thanks
Reactions: Pep
Back
Top Bottom