luckyline
JF-Expert Member
- Aug 29, 2014
- 15,160
- 21,676
Sema kweli?? Aiseee ndio maana alipewa special attention, wacha tu akeshe kaburiniInasemekana mahari ilisha tolewa na mshenga alikuwa January makamba..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sema kweli?? Aiseee ndio maana alipewa special attention, wacha tu akeshe kaburiniInasemekana mahari ilisha tolewa na mshenga alikuwa January makamba..
Anatambulika kuliko zamaradi na mahari ishatolewa hata sauzi alikuwa anaendaKajitangaza mapema ili asisahulike kwenye mgao
Sijajua kama alikua THT hata habari za kuzaa na marehemu nmejua hapo.kwa msibaKumbe ni yule jamaa...mke wake naye alikua THT ama hadi akaliwa na Boss Ru
Ngoja nami nimtafute nioshe nyotaAchana na Sanchi Kuna tuerny
View attachment 1039878
View attachment 1039879
View attachment 1039880
Sema ndo sample zile zile
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani jamaa kaoa mwanamke aliyezaa na Ruge tayari?Sijajua kama alikua THT hata habari za kuzaa na marehemu nmejua hapo.kwa msiba
Ndio teh naona washangaa hata ni nlishangaaYani jamaa kaoa mwanamke aliyezaa na Ruge tayari?
Hah ni ndoa kabisa ama amemuweka ndani kinyumba?Ndio teh naona washangaa hata ni nlishangaa
Ndoa kabisa sio sogea tukaeHah ni ndoa kabisa ama amemuweka ndani kinyumba?
Kama ni kweli labda ndo ile kuchamba kwingi kuondoka na mavi
Hilo ingilishi sio la dunia hiiiii[emoji13] [emoji13]Watu wengi walikuwa na walakini kuhusu ukaribu wa Nandy na familia ya marehemu Ruge Mutahaba wakati wote wa shughuli za msiba, kwa kupewa kipaumbele kuliko hata wanawake waliozaa na Ruge.
Kupitia Instagram Nandy ameeleza ukaribu na uhusiano wake na marehemu
View attachment 1039877
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakika nimepiga ikulu.Kaa utulie dawa ikuingie..Utakua kwenye chain wewe si kwa povu hili acha unafiki ww unadhsni ww ni mkamilifu sana?? unajifanya husengenyi ila mimacho kodoo kwenye kila comment ya mtu unafanya nini hapo?? unaweza ukawa humsemi mtu ila una roho mbayaa kama msaga sumu. Na ulivyo mmbea eti unaorodhesha vitu hapo sasa mm na ww tunatofauti gani. Halafu umelazimishwa kuwa jukwa hili?? Nyie ndo viruka njia upo popote kila jukwaa unaponda kwa sababu huna cha kuchangia huna Contents zozote. Hebu niache bwana kila mtu yuko kivyake humu tusifuatiliane. Inaonekana yanayosemwa humu yankuumiza sana au na ww ni mmoja wao? Ungejificha basi si kwa kuja na ukali huu
Acha kutuchimba mkwara....Issue hapa ni nandy kuwaza nitoke vip mana kipaji hana ni promo tuu ya ruge ambaye sasa hayupo.....Hzo ngojera zingine achana nazo kwanza
Dah...89% ya bandiko limeandikwa kwa kiswahili....na kuna makosa 37 ....lakini umeona moja tu.... la kiingereza...wabongo bana...dah[emoji41]Hapo mwishoni alipaswa kuandika... YOU'RE THE BEST........ na sio YOUR THE BEST.........
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh Labda ndo kaona amefika. You never knowNdoa kabisa sio sogea tukae
alikuwa anasisitiza[emoji1]Hapo kwenye kamstari ka mwisho ka kimombo, si angeandika kwa kiswazi tu!!!
Cheni ni ndefu sana,Kumbe ka Nandy ni kakubwaaa. Pia ni mzur mnooo yani Naturally. Kuna video yake kapost Ruge anacheza na ka mbwa yani it seems jamaa walikuwa wanapendana sana na Nandy
Ww ndo nimekushtukia pole. Endelea na dose yako taratibuHakika nimepiga ikulu.Kaa utulie dawa ikuingie..
Samahani lakini.
Sent using Jamii Forums mobile app