Nandy na Women Shaming

hahaaa utoto bwana,unaexperiment vitu vingi........inauma kwa sasa ila atapona,many have gone through the same thing na wamepona,and I don't think it will affect her career as she is 'purely talented'....sio analazimisha fani
W're talking about talent
 
Siku zote anayedharau amri kumi za Mungu yakimkuta hatushangai,tuache visingizio,ACHENI ZINAA
 
nimekuelewa Sis

Sikufukuzwa niliondoka
 
Wewe ni KE au ME?

Samahani lakini maana...
 
Siku zote anayedharau amri kumi za Mungu yakimkuta hatushangai,tuache visingizio,ACHENI ZINAA

hata adam na hawa walizini,mkuu kuwaambia watu waache zinaa ni mission impossible ,wakale walizini,wa sasa wanazini na wajao watazini pia,...
 
Vijana wana mengi ya kushangaza
 

I hear you
 
Kitendo cha yeye kuwa gumzo tu kwa alichokifanya ni KIKI tosha kabisa,
Hivi kuna msanii wa mziki wa kike hapa Tz kawasasa hivi ambaye ana-trend kwenye media kumshinda Nandy....????

Labda uniambie alikuwa anatafuta Kiki ya kujilikana kuwa pamoja na yeye kuwa ni Mwamziki pia ni porn Star.....

Au labda sijui maana ya Kiki
 
Sijui kama umeelewa nilichomaanisha, Nandy anaendelea kuwa mhanga wakati Billnas anapotezewa.
Kwakua na nandy ni mwanamke,na mwanamke mwili wake imehusiwa ustiriwe kwakua umejaa matamanio,ebu pima tu tembea na mkeo akiwa tumbo wazi nawe tumbo wazi nanip ataonekana kituko.
 
Tofauti sasa yeye yupo Bongo na si Marekani.....

Huyo Binti mpaka aje akubalike tena ...sijui....
Wabongo walivyo wanafiki. Usicheze kabisa na wabongo. Kesho watamuita shujaa..

Maisha ya wabongo yamejaa sanaa na siasa..
 
Mkuu seriously ile jichu*pi lipo vizuri ?
 
Hawa walikua wanatafta
tu kick na ujinga wao

Af sielew nandy alikua anajirekod
Kwa mantik gan
 

you are right,ila once vitu kama hivi vikitokea kuna process unapitia,from guilty ,anger,confusion and acceptability,once ume accept and forgive yourself ,unakua at peace,havikusumbui tena hata likijuridia mara kwa mara .I don't say halitakuuma,kila ukipata kinachokukumbusha lazima upate dejavuu- feelings you felt when you first saw yourself on internet nude.i think ukipata mtu matured both in age and experience,ataaangalia other qualities that you have beyond the scandals ,we all experiment na watu wengi wana scandals na hawajulikani kwenye internet-so kuonekana on the internet sio kwamba wewe ndio Mala*ya sana and I think any MATURED MAN knows this......
 
Hahaha kwel mkuu wametusanua
 
Ile video alikuwa akiichukua mwenyewe. Nadhani tatizo linaanzia hapo. Sasa kwa nini yule dogo awe bashed? Hakuwa amevua nguo zote. Dogo alikuwa anapima oil na Nandy yupo happy tu.
Mkuu lile dole linapima tope pale siyo oil
 

Hata huyo matured person akimkubali tambua kua kuna ndugu,jamaa na marafiki ambao watakua wanaumizwaumizwa na ujinga wa huyo Nandy,vilevile tambua atakuja kua na watoto,we unadhani watoto hao watajisikiaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…