Habari za Zanzibar
JF-Expert Member
- Dec 18, 2024
- 651
- 433
Ninaungana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika kuwapongeza na kuwashukuru wakulima, wafugaji na wavuvi kwa mchango wao mkubwa katika uzalishaji wa chakula, malighafi, ajira na ukuaji wa uchumi wa Taifa.
Katika maadhimisho ya Siku ya Wakulima (Nane Nane), ninaitambua nafasi ya sekta hizi katika utekelezaji wa Dira ya Maendeleo ya Taifa 2050 na katika kuboresha maisha ya Watanzania.
Serikali itaendelea kuweka mazingira wezeshi yatakayowaongezea tija, fursa za masoko na thamani ya uzalishaji wakulima, wafugaji na wavuvi wetu.
Nawatakia Nane Nane Njema.

Attachments
-
Ninaungana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika kuwapo...jpg132.9 KB · Views: 17 -
Ninaungana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika kuwapo...jpg128 KB · Views: 12 -
Ninaungana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika kuwapo...jpg106.4 KB · Views: 14 -
Ninaungana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika kuwapo...jpg144.1 KB · Views: 12 -
IMG-20260804-WA0141.jpg566.5 KB · Views: 12 -
IMG-20260804-WA0139.jpg698.8 KB · Views: 13