Mwande na Mndewa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2021
- 1,322
- 3,648
Mkuu, mbona haukuliza swali hili kabla ya uchaguzi Mkuu wa CHADEMA ila umeona uulize leo tunapoelekea Uchaguzi Mkuu wa Taifa; kwani kuna nini?Kwa kauli hizi mbili tutajua tu nani ni adui wa Chadema,tulisikia mengi mara Magufuli kaiua Chadema,mara Magufuli kamteka Saanane,mara Magufuli kampiga risasi Tundu Lissu,sasa kwa kauli hizi ebu tafakari,nani ni adui wa Chadema!?
Mbowe "Sikumuogopa Rais John Magufuli aliyekuwa na majeshi leo hii nimuogope Tundu Lissu,ambaye ni kiongozi mwenzangu tulikuwa nae kwenye chama!"
Lissu "Nitaendelea kupigania ninachokiamini,nitaendelea kupiga kelele kama zile kelele za vishindo vya wakoma hadi washami wakimbie,nitaendelea kumlipua Mwenyekiti hadi siku ya uchaguzi"
Nani adui wa Chadema!!?
Katiba iliyopo hapa Tanzania pamoja na Sheria kandamizi zilizopo ndio Adui mkubwa zaidi wa CHADEMA na Watu wengine wote kabisa katika Nchi hii, hususani Watu wema.Kwa kauli hizi mbili tutajua tu nani ni adui wa Chadema,tulisikia mengi mara Magufuli kaiua Chadema,mara Magufuli kamteka Saanane,mara Magufuli kampiga risasi Tundu Lissu,sasa kwa kauli hizi ebu tafakari,nani ni adui wa Chadema!?
Mbowe "Sikumuogopa Rais John Magufuli aliyekuwa na majeshi leo hii nimuogope Tundu Lissu,ambaye ni kiongozi mwenzangu tulikuwa nae kwenye chama!"
Lissu "Nitaendelea kupigania ninachokiamini,nitaendelea kupiga kelele kama zile kelele za vishindo vya wakoma hadi washami wakimbie,nitaendelea kumlipua Mwenyekiti hadi siku ya uchaguzi"
Nani adui wa Chadema!!?
🚮🚮🚮Kwa kauli hizi mbili tutajua tu nani ni adui wa Chadema,tulisikia mengi mara Magufuli kaiua Chadema,mara Magufuli kamteka Saanane,mara Magufuli kampiga risasi Tundu Lissu,sasa kwa kauli hizi ebu tafakari,nani ni adui wa Chadema!?
Mbowe "Sikumuogopa Rais John Magufuli aliyekuwa na majeshi leo hii nimuogope Tundu Lissu,ambaye ni kiongozi mwenzangu tulikuwa nae kwenye chama!"
Lissu "Nitaendelea kupigania ninachokiamini,nitaendelea kupiga kelele kama zile kelele za vishindo vya wakoma hadi washami wakimbie,nitaendelea kumlipua Mwenyekiti hadi siku ya uchaguzi"
Nani adui wa Chadema!!?
Adui wa CDM ni CCM na vibaraka wake!! Elewa neno... (Vibaraka wake)Kwa kauli hizi mbili tutajua tu nani ni adui wa Chadema,tulisikia mengi mara Magufuli kaiua Chadema,mara Magufuli kamteka Saanane,mara Magufuli kampiga risasi Tundu Lissu,sasa kwa kauli hizi ebu tafakari,nani ni adui wa Chadema!?
Mbowe "Sikumuogopa Rais John Magufuli aliyekuwa na majeshi leo hii nimuogope Tundu Lissu,ambaye ni kiongozi mwenzangu tulikuwa nae kwenye chama!"
Lissu "Nitaendelea kupigania ninachokiamini,nitaendelea kupiga kelele kama zile kelele za vishindo vya wakoma hadi washami wakimbie,nitaendelea kumlipua Mwenyekiti hadi siku ya uchaguzi"
Nani adui wa Chadema!!?
Anayeenda kinyume na misimamo ya chama nayo ni NRNEKwa kauli hizi mbili tutajua tu nani ni adui wa Chadema,tulisikia mengi mara Magufuli kaiua Chadema,mara Magufuli kamteka Saanane,mara Magufuli kampiga risasi Tundu Lissu,sasa kwa kauli hizi ebu tafakari,nani ni adui wa Chadema!?
Mbowe "Sikumuogopa Rais John Magufuli aliyekuwa na majeshi leo hii nimuogope Tundu Lissu,ambaye ni kiongozi mwenzangu tulikuwa nae kwenye chama!"
Lissu "Nitaendelea kupigania ninachokiamini,nitaendelea kupiga kelele kama zile kelele za vishindo vya wakoma hadi washami wakimbie,nitaendelea kumlipua Mwenyekiti hadi siku ya uchaguzi"
Nani adui wa Chadema!!?
TunatikiMm nafikiri maadui wa nchi ni wale waliochangia MABILIONI JUZI PALE MLIMANI CITY.
MFANO YULE SINGASINGA TULIYEMWITA MHUJUMU UCHUMI MIAKA MI 4 TU ILIYOPITA
Alienda kwenye hafla ya ccm kama nani?
Lisu yupo gerezani kwa sasa. Hata tukimnyonga ukweli utabakia mwisho wa siku utaishi. Ukweli wa mtu haufi ndo mana yesu aliteswa lakini ukweli wa aliyoyasema unaishi mpaka Leo
No reforms no election ndo kosa la lisu
Wapi? Hata msipotikiTunatiki
Haahaa mbona jk hajapumzika?Jaman MBOWE alishaachana na UENYEKITI, mwacheni apumzike
Mbowe ni chawaccm ni Dalali wa Siasa na sasa yupo kwenye kikundi cha kuidhoofisha chadema kinachogharamiwa mabilioni na ibilisi wa ccmKwa kauli hizi mbili tutajua tu nani ni adui wa Chadema,tulisikia mengi mara Magufuli kaiua Chadema,mara Magufuli kamteka Saanane,mara Magufuli kampiga risasi Tundu Lissu,sasa kwa kauli hizi ebu tafakari,nani ni adui wa Chadema!?
Mbowe "Sikumuogopa Rais John Magufuli aliyekuwa na majeshi leo hii nimuogope Tundu Lissu,ambaye ni kiongozi mwenzangu tulikuwa nae kwenye chama!"
Lissu "Nitaendelea kupigania ninachokiamini,nitaendelea kupiga kelele kama zile kelele za vishindo vya wakoma hadi washami wakimbie,nitaendelea kumlipua Mwenyekiti hadi siku ya uchaguzi"
Nani adui wa Chadema!!?
Mwambie aache kuuza wanachama wa chadema kwa ccm na kuwasokomeza chauma ubwabwaJaman MBOWE alishaachana na UENYEKITI, mwacheni apumzike
Mbona Mbowe hapumziki kula pesa za ibilisi wa ccm kwa kazi ya kuidhoofisha chadema?Jaman MBOWE alishaachana na UENYEKITI, mwacheni apumzike
Njama za kumpeleka Lisu jela zimesukwa na mbowe akitaka lisu afie jela arejee chadema kwa mapinduzi haramu ya kishetani kama Lipumba wa CUFMbowe adui namba moja wa chadema yeye na kamati zake ndo mwanzilishi wa vurugu zote hadi za kudai mali cha chama
Kwa kauli hizi mbili tutajua tu nani ni adui wa Chadema,tulisikia mengi mara Magufuli kaiua Chadema,mara Magufuli kamteka Saanane,mara Magufuli kampiga risasi Tundu Lissu,sasa kwa kauli hizi ebu tafakari,nani ni adui wa Chadema!?