Mbowe kawaandaa mashahidi wa kuficha Sura akina Kileo mzee wa Tindikali na Yericko Nyerere wakatoe ushahidi wa uongo mahakamaccm, Mbowe ni mtu wa hovyo haijapata kitokeaJaman MBOWE alishaachana na UENYEKITI, mwacheni apumzike
Mbowe ni chawaccm ni Dalali mwandamizi wa kutoa watu chadema kuwapeleka chauma chawa mchepuko wa ccm, Mbowe kwa sasa ni Sumu ni nyukilia inayoitafuna chadema kwa kasi ya kutisha..adui wa Chadema na Watanzania ni GENGE linaloimiliki Ccm.
..Ccm sio chama cha Watanzania wa kawaida tena, bali ni chama kinachomilikiwa na GENGE la mabilionea mafisadi.
Mshirika wa sisiemu ndio adui wa CDM kama chama kinapata kesi kwa madai ambayo wewe ndio umekua kiongozi walioshindwa wenzako wanafungua kesi na wewe unakaa kimya inamaana wewe ninsehemu ya huo uchafu by default,Kwa kauli hizi mbili tutajua tu nani ni adui wa Chadema,tulisikia mengi mara Magufuli kaiua Chadema,mara Magufuli kamteka Saanane,mara Magufuli kampiga risasi Tundu Lissu,sasa kwa kauli hizi ebu tafakari,nani ni adui wa Chadema!?
Mbowe "Sikumuogopa Rais John Magufuli aliyekuwa na majeshi leo hii nimuogope Tundu Lissu,ambaye ni kiongozi mwenzangu tulikuwa nae kwenye chama!"
Lissu "Nitaendelea kupigania ninachokiamini,nitaendelea kupiga kelele kama zile kelele za vishindo vya wakoma hadi washami wakimbie,nitaendelea kumlipua Mwenyekiti hadi siku ya uchaguzi"
Nani adui wa Chadema!!?
Kwani wewe ni mnufaika wa matendo haramu ya mbowe? Kwani wewe ukimuua mwanao familia yako itakupenda? Mbowe wa sasa si yule wa zamani Mbowe kawa shetani mkubwa wa kuidhoofisha chadema hafai ni mtu wa hovyo mnoLeo hii Wanachadema wanamuona Mbowe mbaya 😂
Kawa shetani baada ya uchaguzi wao au amekuwa shetani kuanzia lini?Kwani wewe ni mnufaika wa matendo haramu ya mbowe? Kwani wewe ukimuua mwanao familia yako itakupenda? Mbowe wa sasa si yule wa zamani Mbowe kawa shetani mkubwa wa kuidhoofisha chadema hafai ni mtu wa hovyo mno
Mbowe ndiyo alisuka njama za Lisu kupelekwa jela akishirikiana na ibilisi wa ccm lengo akitaka Lisu afie jela apate kurejea chadema kwa mapinduzi haramu ya kishetani kama Lipumba wa CUF, Mbowe ni mtu wa hovyo sanaMshirika wa sisiemu ndio adui wa CDM kama chama kinapata kesi kwa madai ambayo wewe ndio umekua kiongozi walioshindwa wenzako wanafungua kesi na wewe unakaa kimya inamaana wewe ninsehemu ya huo uchafu by default,
Ccm na viongozi wake wa kitaifa.Kwa kauli hizi mbili tutajua tu nani ni adui wa Chadema,tulisikia mengi mara Magufuli kaiua Chadema,mara Magufuli kamteka Saanane,mara Magufuli kampiga risasi Tundu Lissu,sasa kwa kauli hizi ebu tafakari,nani ni adui wa Chadema!?
Mbowe "Sikumuogopa Rais John Magufuli aliyekuwa na majeshi leo hii nimuogope Tundu Lissu,ambaye ni kiongozi mwenzangu tulikuwa nae kwenye chama!"
Lissu "Nitaendelea kupigania ninachokiamini,nitaendelea kupiga kelele kama zile kelele za vishindo vya wakoma hadi washami wakimbie,nitaendelea kumlipua Mwenyekiti hadi siku ya uchaguzi"
Nani adui wa Chadema!!?
Baada ya kuanguka alitengeneza chuki kubwa kwa uongozi mpya wa lisu na Heche akaunda kikundi cha G55 na vikundi vingine haramu vya kuidhoofisha chadema, kwa kifupi Mbowe ni Adui number one wa chadema kwa sasaKawa shetani baada ya uchaguzi wao au amekuwa shetani kuanzia lini?
Eh Heche tena? 😂 Jamaa c makamu huko chademani sasa ina maana nae anakula huku anapuliza au?Baada ya kuanguka alitengeneza chuki kubwa kwa uongozi mpya wa lisu na Heche akaunda kikundi cha G55 na vikundi vingine haramu vya kuidhoofisha chadema, kwa kifupi Mbowe ni Adui number one wa chadema kwa sasa
Amos makala anafanya kazi kwa ukaribu mkubwa na mbowe kila sikuCcm na viongozi wake wa kitaifa.
Tambua kuwa mbowe ni Adui wa uongozi mpya wa chadema na ndiye kala njama na ibilisi wa ccm lisu apelekwe jela apate kufanya udalali wa kuwauza G55 kwa ccm ambapo huwasokomeza chauma ubwabwa chama mchepuko wa ccmEh Heche tena? 😂 Jamaa c makamu huko chademani sasa ina maana nae anakula huku anapuliza au?
Em nambie hapo kwa heche kuanzisha G55Tambua kuwa mbowe ni Adui wa uongozi mpya wa chadema na ndiye kala njama na ibilisi wa ccm lisu apelekwe jela apate kufanya udalali wa kuwauza G55 kwa ccm ambapo huwasokomeza chauma ubwabwa chama mchepuko wa ccm
So whatAmos makala anafanya kazi kwa ukaribu mkubwa na mbowe kila siku
Utatiki kwa sababu Huna uwezo wa kupambanua mambo. Na hayo ni madhara ya kuvizwa AKILITunatiki
Mwambie kwanza yule sokwe mtu wenu apumz8keJaman MBOWE alishaachana na UENYEKITI, mwacheni apumzike
CCM na RUSHWAKwa kauli hizi mbili tutajua tu nani ni adui wa Chadema,tulisikia mengi mara Magufuli kaiua Chadema,mara Magufuli kamteka Saanane,mara Magufuli kampiga risasi Tundu Lissu,sasa kwa kauli hizi ebu tafakari,nani ni adui wa Chadema!?
Mbowe "Sikumuogopa Rais John Magufuli aliyekuwa na majeshi leo hii nimuogope Tundu Lissu,ambaye ni kiongozi mwenzangu tulikuwa nae kwenye chama!"
Lissu "Nitaendelea kupigania ninachokiamini,nitaendelea kupiga kelele kama zile kelele za vishindo vya wakoma hadi washami wakimbie,nitaendelea kumlipua Mwenyekiti hadi siku ya uchaguzi"
Nani adui wa Chadema!!?
Mtaje jinaMwambie kwanza yule sokwe mtu wenu apumz8ke
Hahahahah!!! Chadema ongozeni chama chenu mkijenge achaneni na MBOWEMbowe kawaandaa mashahidi wa kuficha Sura akina Kileo mzee wa Tindikali na Yericko Nyerere wakatoe ushahidi wa uongo mahakamaccm, Mbowe ni mtu wa hovyo haijapata kitokea