Nani adui wa CHADEMA - Freeman Mbowe au Tundu Lissu!?

Leo hii Wanachadema wanamuona Mbowe mbaya πŸ˜‚
 
Jaman MBOWE alishaachana na UENYEKITI, mwacheni apumzike
Mbowe kawaandaa mashahidi wa kuficha Sura akina Kileo mzee wa Tindikali na Yericko Nyerere wakatoe ushahidi wa uongo mahakamaccm, Mbowe ni mtu wa hovyo haijapata kitokea
 
..adui wa Chadema na Watanzania ni GENGE linaloimiliki Ccm.

..Ccm sio chama cha Watanzania wa kawaida tena, bali ni chama kinachomilikiwa na GENGE la mabilionea mafisadi.
Mbowe ni chawaccm ni Dalali mwandamizi wa kutoa watu chadema kuwapeleka chauma chawa mchepuko wa ccm, Mbowe kwa sasa ni Sumu ni nyukilia inayoitafuna chadema kwa kasi ya kutisha
 
Mshirika wa sisiemu ndio adui wa CDM kama chama kinapata kesi kwa madai ambayo wewe ndio umekua kiongozi walioshindwa wenzako wanafungua kesi na wewe unakaa kimya inamaana wewe ninsehemu ya huo uchafu by default,
 
Leo hii Wanachadema wanamuona Mbowe mbaya πŸ˜‚
Kwani wewe ni mnufaika wa matendo haramu ya mbowe? Kwani wewe ukimuua mwanao familia yako itakupenda? Mbowe wa sasa si yule wa zamani Mbowe kawa shetani mkubwa wa kuidhoofisha chadema hafai ni mtu wa hovyo mno
 
Kawa shetani baada ya uchaguzi wao au amekuwa shetani kuanzia lini?
 
Mshirika wa sisiemu ndio adui wa CDM kama chama kinapata kesi kwa madai ambayo wewe ndio umekua kiongozi walioshindwa wenzako wanafungua kesi na wewe unakaa kimya inamaana wewe ninsehemu ya huo uchafu by default,
Mbowe ndiyo alisuka njama za Lisu kupelekwa jela akishirikiana na ibilisi wa ccm lengo akitaka Lisu afie jela apate kurejea chadema kwa mapinduzi haramu ya kishetani kama Lipumba wa CUF, Mbowe ni mtu wa hovyo sana
 
Ccm na viongozi wake wa kitaifa.
 
Kawa shetani baada ya uchaguzi wao au amekuwa shetani kuanzia lini?
Baada ya kuanguka alitengeneza chuki kubwa kwa uongozi mpya wa lisu na Heche akaunda kikundi cha G55 na vikundi vingine haramu vya kuidhoofisha chadema, kwa kifupi Mbowe ni Adui number one wa chadema kwa sasa
 
Eh Heche tena? πŸ˜‚ Jamaa c makamu huko chademani sasa ina maana nae anakula huku anapuliza au?
 
Tambua kuwa mbowe ni Adui wa uongozi mpya wa chadema na ndiye kala njama na ibilisi wa ccm lisu apelekwe jela apate kufanya udalali wa kuwauza G55 kwa ccm ambapo huwasokomeza chauma ubwabwa chama mchepuko wa ccm
 
Mbowe kwa sasa hafai hata kuwa mjumbe wa nyumba kumi kwani kawa mtu hatari sana
 
Tambua kuwa mbowe ni Adui wa uongozi mpya wa chadema na ndiye kala njama na ibilisi wa ccm lisu apelekwe jela apate kufanya udalali wa kuwauza G55 kwa ccm ambapo huwasokomeza chauma ubwabwa chama mchepuko wa ccm
Em nambie hapo kwa heche kuanzisha G55
 
CCM na RUSHWA
 
Mbowe kawaandaa mashahidi wa kuficha Sura akina Kileo mzee wa Tindikali na Yericko Nyerere wakatoe ushahidi wa uongo mahakamaccm, Mbowe ni mtu wa hovyo haijapata kitokea
Hahahahah!!! Chadema ongozeni chama chenu mkijenge achaneni na MBOWE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…