Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 4,817
- 14,925
Acha kabisaNa huyo Daddy ni anaheshimika hatari
Can u call me u're daddy ๐Na huyo Daddy ni anaheshimika hatari
๐คฃHaka ka upuuzi ka kuitana mara dady, sijui uncle.... vibint vingi vimelombwa sana kwa huu mchezo .......inaanza kama utani na masikhara badae lijamaa linaomba game....
Inategemea unanipa shi ngapi? ๐Can u call me u're daddy ๐
kwani unataka kwanzia bei gani?Inategemea unanipa shi ngapi? ๐
atakuwa ni mpuuzi mmoja aidha wa kike au wa kiume na njaa njaa zake za kijikomba komba kwa hao matapeli wa kidini ndio akaja na hilo jina la kitapeli, na wapuuzi wenzake wakaanza kulisambaza na kulitumia kwenye vijiwe vyaoNaona imekuwa trend siku hizi
Nabii,mtume,mchungaji haswa hawa kwenye makanisa binafsi ya kiroho
Wanawaita Daddy...
Dadii una mgeni
Dadii tukuletee chai
Dadii Mzee Fulani amekuja tayari
Masanja anaitwa daddy
Myamba anaitwa daddy
Mwamposa anaitwa daddy
Malisa anaitwa daddy
Yule wa kivule aliewaagiza nywele za sehemu za Siri na kuchat Hadi akafungiwa na serikali anaitwa daddy
Who else anaitwa daddy?
Wadada ndio wanaongoza kuwaita hivi.wengine wake/wazahumba za watu.ndio mahaba au?
Heshima?
Upendo? Fashion?
Kiongozi wa kiroho?
UlAkiwa nyumbani " baba chaudele unaingia nifunge mlango๐"
Akiwa kanisani " karibu Daddy..pita na viatu๐"
Na goti linapigwa.
Siku njema!
Sema nini Kuna namna hao ma Daddy wanadekeza waumini wao hatari Hadi kuwajengea ๐๐Acha kabisa
Anapewa heshima kuliko mume ama baba mzazi.
Wanarogwa?
Umewahi?Sema nini Kuna namna hao ma Daddy wanadekeza waumini wao hatari Hadi kuwajengea ๐๐
Na hili ndilo suala linalonisukuma moyoni kuwa baada ya kustaafu sina jambo lingine la kusogeza umri wangu kabla ya kifo ila kuanzisha kanisa nimtumikie bwana .Naona imekuwa trend siku hizi
Nabii,mtume,mchungaji haswa hawa kwenye makanisa binafsi ya kiroho
Wanawaita Daddy...
Dadii una mgeni
Dadii tukuletee chai
Dadii Mzee Fulani amekuja tayari
Masanja anaitwa daddy
Myamba anaitwa daddy
Mwamposa anaitwa daddy
Malisa anaitwa daddy
Yule wa kivule aliewaagiza nywele za sehemu za Siri na kuchat Hadi akafungiwa na serikali anaitwa daddy
Who else anaitwa daddy?
Wadada ndio wanaongoza kuwaita hivi.wengine wake/wazahumba za watu.ndio mahaba au?
Heshima?
Upendo? Fashion?
Kiongozi wa kiroho?
UlAkiwa nyumbani " baba chaudele unaingia nifunge mlango๐"
Akiwa kanisani " karibu Daddy..pita na viatu๐"
Na goti linapigwa.
Siku njema!
Huna sifa ya kuwa Daddy.kwani unataka kwanzia bei gani?
๐คฃCan u call me u're daddy ๐
Enhee