Nani alianzisha jina la "Daddy" kwa Viongozi wa Kiroho?

Nani alianzisha jina la "Daddy" kwa Viongozi wa Kiroho?

Naona imekuwa trend siku hizi kwa Nabii, Mtume, Mchungaji haswa hawa kwenye makanisa binafsi ya kiroho kuitwaa Daddy!

Dadii una mgeni...
Dadii tukuletee chai...
Dadii Mzee Fulani amekuja tayari...

Masanja anaitwa daddy
Myamba anaitwa daddy
Mwamposa anaitwa daddy
Malisa anaitwa daddy
Yule wa kivule aliewaagiza nywele za sehemu za siri na kuchat dadi akafungiwa na serikali anaitwa Daddy

Who else anaitwa Daddy?

Wadada ndio wanaongoza kuwaita hivi, wengine wake/wachumba za watu. Ndio Mahaba, Heshima, Upendo, Fashion au kweli ni Kiongozi wa Kiroho?

Akiwa nyumbani, "Baba Chaudele unaingia nifunge mlango😒"

Akiwa kanisani, "Karibu Daddy..pita na viatu😁" na goti linapigwa!

Siku njema!
Acha wapigwe mazuzu hao,
Ukiwasanua wanakuambia wewe kobazi!
 
Naona imekuwa trend siku hizi
Nabii,mtume,mchungaji haswa hawa kwenye makanisa binafsi ya kiroho
Wanawaita Daddy...

Dadii una mgeni
Dadii tukuletee chai
Dadii Mzee Fulani amekuja tayari
Masanja anaitwa daddy
Myamba anaitwa daddy
Mwamposa anaitwa daddy
Malisa anaitwa daddy
Yule wa kivule aliewaagiza nywele za sehemu za Siri na kuchat Hadi akafungiwa na serikali anaitwa daddy
Who else anaitwa daddy?

Wadada ndio wanaongoza kuwaita hivi.wengine wake/wazahumba za watu.ndio mahaba au?
Heshima?
Upendo? Fashion?
Kiongozi wa kiroho?

UlAkiwa nyumbani " baba chaudele unaingia nifunge mlango😒"
Akiwa kanisani " karibu Daddy..pita na viatu😁"
Na goti linapigwa.

Siku njema!
Hapo inaitwa reflective meaning. Jina Lina akisi kitu fulani. Ni kama bodaboda wako unavyomuita baby. Baby ni mtoto. Au mtu mbaya anaitwa jitu.
Sasa kuitwa dady, daddy, dadii au baba ni kuonesha upendo wa asili kati ya muita na muitwa.
Kama kuna mengine yanayoendelea nyuma ya pazi katiko huo muitano wao hiyo ni kesi nyingine. Lakini jina kama jina ni kuonesha uwajibikaji wa upendo wa asili kati ya ya hao watu.
 
min -mt: 56247667 said:
Kuna mmoja alinifuata pm eti kaonyeshwa mimi sio binadamu na ata dili na mimi mpaka nirudi kwa baba yangu ibilisi😅
🤣🤣😁🤣
 
Hapo inaitwa reflective meaning. Jina Lina akisi kitu fulani. Ni kama bodaboda wako unavyomuita baby. Baby ni mtoto. Au mtu mbaya anaitwa jitu.
Sasa kuitwa dady, daddy, dadii au baba ni kuonesha upendo wa asili kati ya muita na muitwa.
Kama kuna mengine yanayoendelea nyuma ya pazi katiko huo muitano wao hiyo ni kesi nyingine. Lakini jina kama jina ni kuonesha uwajibikaji wa upendo wa asili kati ya ya hao watu.
Nimeelewa mkuu
Ila unaweza kuleta ukakasi Fulani.

Na hao wanawaita bodaboda wao baby wakina nani?
 
Hapo inaitwa reflective meaning. Jina Lina akisi kitu fulani. Ni kama bodaboda wako unavyomuita baby. Baby ni mtoto. Au mtu mbaya anaitwa jitu.
Sasa kuitwa dady, daddy, dadii au baba ni kuonesha upendo wa asili kati ya muita na muitwa.
Kama kuna mengine yanayoendelea nyuma ya pazi katiko huo muitano wao hiyo ni kesi nyingine. Lakini jina kama jina ni kuonesha uwajibikaji wa upendo wa asili kati ya ya hao watu.
Sema nini unajua kwanini wanaume hawaiti hivyo ila ni wanawake ndio wanaita hivyo? ushaelewa?
 
Sema nini unajua kwanini wanaume hawaiti hivyo ila ni wanawake ndio wanaita hivyo? ushaelewa?
wanawake ni viumbe laini laini hata ktk lugha huchagua lugha laini.
Lugha kama lugha haina shida. Maana hata nyumbani anayeongoza kutumia maneno laini ni watoto wa kike.
Matendo ya hao watu na wachungaji wao hayahusiani na lugha. Hao Wana Nia uvu.
 
Back
Top Bottom