Red black
JF-Expert Member
- Nov 29, 2019
- 18,719
- 60,636
Pumbavu 😂Huna sifa ya kuwa Daddy.
Daddy wote hapa mjini Huwa hawaulizi 😝😜 wanajua wajibu wao
Pumbavu 😂Huna sifa ya kuwa Daddy.
Daddy wote hapa mjini Huwa hawaulizi 😝😜 wanajua wajibu wao
Daddy hao sio kwa kina sie.Umewahi?
Inaonyesha una experience na Hilo🤣
Mkuu taratibuNa hili ndilo suala linalonisukuma moyoni kuwa baada ya kustaafu sina jambo lingine la kusogeza umri wangu kabla ya kifo ila kuanzisha kanisa nimtumikie bwana .
Nitavua kanzu na kufuta sijida niokoke nifungue kanisa walau nile vya madhabahuni maana vya jasho vimenishinda navila kwa tabu sana
Ni huzuniDaddy hao sio kwa kina sie.
Naonaga wamama wengi wanawaheshimu mno hao watu kuliko family zako.
Sijaelewa umemaanisha nini AbbyMkuu taratibu
Makanukizipata kwanza ndio utaitwa daddy
Kinyume na hapo wewe ni baba mchungaji.
Wadada wa nyumbandogo ziliwafundisha watoto wao.Naona imekuwa trend siku hizi
Nabii,mtume,mchungaji haswa hawa kwenye makanisa binafsi ya kiroho
Wanawaita Daddy...
Dadii una mgeni
Dadii tukuletee chai
Dadii Mzee Fulani amekuja tayari
Masanja anaitwa daddy
Myamba anaitwa daddy
Mwamposa anaitwa daddy
Malisa anaitwa daddy
Yule wa kivule aliewaagiza nywele za sehemu za Siri na kuchat Hadi akafungiwa na serikali anaitwa daddy
Who else anaitwa daddy?
Wadada ndio wanaongoza kuwaita hivi.wengine wake/wazahumba za watu.ndio mahaba au?
Heshima?
Upendo? Fashion?
Kiongozi wa kiroho?
UlAkiwa nyumbani " baba chaudele unaingia nifunge mlango😒"
Akiwa kanisani " karibu Daddy..pita na viatu😁"
Na goti linapigwa.
Siku njema!
Now mabinti kwenye hayo makanisa ndio utaratibu wao kuwaita hivyo.atakuwa ni mssengge mmoja aidha wa kike au wa kiume na njaa njaa zake za kijikomba komba kwa hao matapeli wa kidini ndio akaja na hilo jina la kitapeli, na wassenge wenzake wakaanza kulisambaza na kulitumia kwenye vijiwe vyao
Kwamba kuitwa daddy itabidi uzikusanye pesa Kwa nguvu kwanzaSijaelewa umemaanisha nini Abby
Sasa hawa wanawaita viongozi wa kiroho waoNi yule muimbaji wa kiume mkenya mwenye asili ya congo aliyewika sana kwa nyimbo za injili hapa nchini, ndio hawa wengine nao wakaiga, by the way kumuita Mungu Daddy ni uhuni tu, haipendezi
Abby wewe ndiye haujanielewa nadhani ,sasa hivi hivyo yawezekana ninavyo ila bado nahitaji kujijenga zaidi ila sasa ikiwa nimestaafu usisahau nina mafao yangu ya ajira ni hayo nayaelekeza huko ili waje kunidekeza wenyewe kwa mishahara yao na zaka zao wakati ambao mimi nilifanya jitahada kuanzisha jambo la kikanisa .Kwamba kuitwa daddy itabidi uzikusanye pesa Kwa nguvu kwanza
Ununue gari Kali
Uvae suti Kali
Sijui umenielewa
NimekuelewaAbby wewe ndiye haujanielewa nadhani ,sasa hivi hivyo yawezekana ninavyo ila bado nahitaji kujijenga zaidi ila sasa ikiwa nimestaafu usisahau nina mafao yangu ya ajira ni hayo nayaelekeza huko ili waje kunidekeza wenyewe kwa mishahara yao na zaka zao wakati ambao mimi nilifanya jitahada kuanzisha jambo la kikanisa .
Sasa let say nimepokea mafao yangu milioni hamsini na niliwekeza zingine hamsini ,chap nafungua huduma ,unadhani mimi ni DADDY SIO DADDY ?
mabinti wa aina hiyo siwezi kuwaruhusu wanikaribie hata kwa dk moja.Now mabinti kwenye hayo makanisa ndio utaratibu wao kuwaita hivyo.
Mi Hadi naona aibu
Na hili suala nipo serious Abby ,kuhusu umri sisubiri miaka sijui 60 mara 55 wala ya kuingezewa mwaka mmoja wala miwili eti mimi ni mtumishi tukuka ,hapana ni miaka arobaini na tano mpaka hamsini kamili naomba kustaafu kwa hiyari ili nikalitumikie kanisa tena mbeya ,najiona mtakavyo kuwa mnaniangalia kwa TV kwa wivu mkubwa na vile sina mke kila dada atatamani daddy amuoe ila ndiyo vile daddy mwenyewe ni chapa ilale ,mkija kustuka nipo America kama mzee Magari nachekea mbali kama JakayaNimekuelewa
Tayari we ni daddy
Na mtaji unarudi mapema tu
Btw na uzee wote huo hayo yote unayataka ya nini.si upumzike?
kama sibishi siji na andikoSiku hizi majambazi na Malaya wamegundua namna nzuri ya kujificha ni kutumia mwamvuli wa kanisa
Muita dady na muitwa dady wote n Malaya waliokubuhu
Kama unabisha njoo na andiko
Daaaah, daddyWalokole ni vichaa wanaozurura bila kumeza dawa
serikali ianzishe task force ya kuwahifadhi sehemu salamaWalokole ni vichaa wanaozurura bila kumeza dawa