Nani alianzisha jina la "Daddy" kwa Viongozi wa Kiroho?

Nani alianzisha jina la "Daddy" kwa Viongozi wa Kiroho?

Nimeelewa mkuu
Ila unaweza kuleta ukakasi Fulani.

Na hao wanawaita bodaboda wao baby wakina nani?
Siku hizi huku mitaani ni vurugu tupu. Ninenda dukani naitwa mpenzi karibu. Nikastuka labda kuna mtu nyuma naona Niko alone.
Anyway, neno baby limekuwa common tofauti na miaka kadhaa nyuma. Sasa hivi Hadi bodaboda wanaitwa hivyo, Hadi wasichana kwa wasichana wanaitana hivyo. Point ni kuwa lugha has nothing to do na matendo mabaya ya mtu.
 
Nimekuelewa mkuu
 
Na hili suala nipo serious Abby ,kuhusu umri sisubiri miaka sijui 60 mara 55 wala ya kuingezewa mwaka mmoja wala miwili eti mimi ni mtumishi tukuka ,hapana ni miaka arobaini na tano mpaka hamsini kamili naomba kustaafu kwa hiyari ili nikalitumikie kanisa tena mbeya ,najiona mtakavyo kuwa mnaniangalia kwa TV kwa wivu mkubwa na vile sina mke kila dada atatamani daddy amuoe ila ndiyo vile daddy mwenyewe ni chapa ilale ,mkija kustuka nipo America kama mzee Magari nachekea mbali kama Jakaya

Ila we jamaa😁😁
 
wanawake ni viumbe laini laini hata ktk lugha huchagua lugha laini.
Lugha kama lugha haina shida. Maana hata nyumbani anayeongoza kutumia maneno laini ni watoto wa kike.
Matendo ya hao watu na wachungaji wao hayahusiani na lugha. Hao Wana Nia uvu.
Wewe unaweza kuniita mimi daddy? Hujiulizi kwanini hutaki kugongwa?
 
Back
Top Bottom