Nani alianzisha jina la "Daddy" kwa Viongozi wa Kiroho?

DAddy lazima awe amelamba lolo ya muumini ili ionekane dady inanguvu
 
Hii tabia sijui tufanyeje,
Kuna mabinti wangu wawili wakubwa tu.
Wakikaa sekunde Daddy,Daddy,daady mi nawaangalia tu.
Wa kiume Ni kugonga tano twenzetu mikausho mikali.
 
Daddy ni baba kwa fasiri ya kiswahili.

Watu wenye hadhi za kichungaji, mapadre ama maaskofu wote huitwa 'baba'.

Kule Katoliki huitwa 'father' maana ya fasiri ikiwa ni hiyo hiyo.

Nadhani cha kujadili hapa ni ule unyenyekevu na adabu za kupitiliza wanazopewa bila uhalisia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…