Nani Alikuwa Bora kati ya Zidane na Ronaldinho?

Nani Alikuwa Bora Kati ya Zidane na Ronaldinho?


  • Total voters
    27
  • Poll closed .
Ingia YouTube,semifinal Brazil vs zidane,dinho hiyo game alimvulia kofia,kwa maneno yake mwenyewe
 
Ingekuwa vizuri kama tungemlinganisha zidane na Ronado luis nazario de lima. Maana wao ndio wanafanana. Huyu gaucho ni mtoto wa juzi.
Na wengi wenu mnaosema gaucho mkali mmeanza kuujua mpira juzi.

1994: fainali zilichezwa amerika
Romario de souza ,didi vava, bebeto, achana roberto Carlos.

Ufaransa ilikuwa na zidane , deschamps , mersey dersailey, karembeu,

Romalio aliibuka mchezaji bora
 
1998 fainali ilichezwa ufaransa
Brazil alilala mbele ya ufaransa. Kipa akiwa barthez , anelka , wiltod, deschamps, kalembeu, na wengine nimewasau
Brazil ikiongoza na claudio tafarel, ronardo , roberto, caf , dunga, Rivaldo, na wengine nimewasahau, kocha mario zagallo baada ya kutoka ufaransa alifutwa kazi kisa hakumuita Romario kikosini.
Ronaldo alipotoka hizi fainali alienda kucheza inter millan ,akapigwa but ilomfanya akae nje kipindi kirefu.

Kama sijasahau zidane aliwahi kucheza Barcelona , ndio madrid ikamsajili huku ikivunja record ilowahi kuwekwa na luis figo. Miaka michache baadae ronaldo akaja madrid.

2002 : korea kusini na Japan
Mechi ya kwanza wafaransa wanapigwa goli moja na senegal.
Fainal brazil anampiga goli mjeruman, fainali hizi ndio watu wanapata kumjua Gaucho, Caf anastaafu mpira.
 
Mkuu, kwa Talent/Skills Zizzou kiukweli atasubiri sana mbele ya Gaucho. Kwa wakati Gaucho yuko kwenye peak, Zizzou alianza kushuka.
 
Ushawahi kusikia hili neno"nabii Wa mwisho Wa soka" ulizia uambiwe ni nani unadhani aliitwa tu hivi bure [emoji117] ronaldo de asis almaarufu ronadinho ni habari nyingine hata messi anakiri kwa mdomo wake kati ya vitu anavyovipenda basi ni kumuona.dinho akiwa anacheza Moira wake kwa umaridadi
 
Huko Brazil wanamuita Santa Gaucho, mimi namuita The Phenomena..
Achana na Gaucho wewee, sole blind pass unadhani mchezo
 
Nimewaambia, Zidane anajua kucheza mpira. Unamkumbuka Fabrizio Ravanel na Gianluica Vialli mkuu. Au mnaandika tu
 
Anajua kuchezea mpira...sio kucheza mpira
 
Km nimpira wa kufraisha ni sahihi Gaucho is the best ever & second one is Okocha.




Mkuu utakuwa ulikuwa unamtazama gaucho wakati wameshinda....lakini ukimkuta Gaucho timu ipo kwenye hali mbaya barca walikuwa wanamtaza yeye kubadili matokeo na siku zote alikuwa akitoa kitu timu imefingwa anatoa kitu cha faida kwa timu
 
Mkuu utakuwa ulikuwa unamtazama gaucho wakati wameshinda....lakini ukimkuta Gaucho timu ipo kwenye hali mbaya barca walikuwa wanamtaza yeye kubadili matokeo na siku zote alikuwa akitoa kitu timu imefingwa anatoa kitu cha faida kwa timu

Fainali za kombe la dunia mwaka 2006, aliisaidia nini Timu yake ya taifa , kombe lilienda Italia baada ya ufaransa kushindwa na Italia mbele ya matelazi, cannavaro, gatuso, del piero, mwaka huo ndio zidane alistaafu mpira baada ya kumpiga kichwa matelazi. Kwenye club yake mwaka huo walifanikiwa kutwaa uefa baada ya kumpiga arsenal goli 2 kwa 1, goli la kwanza likiwekwa kimiani kwa penalti, dakika chache baadae soul campbel anachomoa, baadae kabisa arsenal anapigwa goli la pili na mpira unakwisha arsenal wakiwa pungufu uwanjan baada ya kipa wao kutolewa nje kwa kadi nyekundu.
A
 
Nimewaambia, Zidane anajua kucheza mpira. Unamkumbuka Fabrizio Ravanel na Gianluica Vialli mkuu. Au mnaandika tu
Namkumbuka vizuri, pia namkumbuka Christian vieli, huyu zidane ndio alowafundisha mpira kina Thierry Henry. Huyu zidane ni dharau kumlinganisha na gaucho,

Anafaa kulinganishwa na kina paulo mardini, Gianfranco Zola, luis madeira figo, Patrick kluivert, mac overmas, philip cok, edgar devis, davor suker, boban, roberto bagio, paul auspirilla, Sebastian veron, batistuta, ariel otega, teddy sheringham,
 





Kwani mwaka 2002 huyo zizou kasaidia nini...mimi naonglea barca wewe unaleta habari zako za world cup kwani zizou na gaucho world cup wamechukua mara ngapi kila mmoja .....wewe hujui mpira
 
Kwahiyo kama mtu kacheza rafu unataka aachwe wewe hujui mpira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…