1998 fainali ilichezwa ufaransa
Brazil alilala mbele ya ufaransa. Kipa akiwa barthez , anelka , wiltod, deschamps, kalembeu, na wengine nimewasau
Brazil ikiongoza na claudio tafarel, ronardo , roberto, caf , dunga, Rivaldo, na wengine nimewasahau, kocha mario zagallo baada ya kutoka ufaransa alifutwa kazi kisa hakumuita Romario kikosini.
Ronaldo alipotoka hizi fainali alienda kucheza inter millan ,akapigwa but ilomfanya akae nje kipindi kirefu.
Kama sijasahau zidane aliwahi kucheza Barcelona , ndio madrid ikamsajili huku ikivunja record ilowahi kuwekwa na luis figo. Miaka michache baadae ronaldo akaja madrid.
2002 : korea kusini na Japan
Mechi ya kwanza wafaransa wanapigwa goli moja na senegal.
Fainal brazil anampiga goli mjeruman, fainali hizi ndio watu wanapata kumjua Gaucho, Caf anastaafu mpira.