Nani Alikuwa Bora kati ya Zidane na Ronaldinho?

Nani Alikuwa Bora Kati ya Zidane na Ronaldinho?


  • Total voters
    27
  • Poll closed .
Asante sana RENZO! Nimesoma comments za wadau humu dah hahaa kuna baadhi wasiojua nini maana ya mpira ndiyo wanasumbua humu, wanasifu kitu bila facts wala evidence..sijui kutoelewa nini maana ya mpira ama ni nini hasaa?
Tomorrow tutaendelea



 
Labda tofauti yao kidogo ipo hapa

ZiZou anapiga mchanganyiko Wa basic football na na madoido .

Wakati dinho anapiga madoido na but yana impact kubwa kwenye timu yake .

But wacha dinho aitwe dinho yule habari nyingine.

Sijui kwanini hana bahati alipaswa ahubiriwe kama wanavyo hubiriwa akina Pele,maradona,messi na cristiano ronaldo.

Nabii Wa mwisho katika soka.
 
Acha kutuwekea historia zako za uongo wakati watu tulikuwepo!, Zizou kacheza lin barca? Ovyoooo! Zizou katoka Juve kwenda Madrid aliyetoka barca ni Figo

Halaf aliyekwambia watu wakicheza vipindi tofauti hawawez linganishwa nani?

Hebu kakojoe ulale
 
Wee jamaa wa bush sana iv hapa wanalinganisha uwezo au ukongwe?
 
Dinho ni nouma,kama lile goli aliliwafunga Chelsea lilikuwa bonge la goli...ana mambo mengi sana hyu staa.
 
Gaucho ndo alinifundisha kuupenda mpira na ndiye aliyenipa card [emoji388] ya ushabiki wa timu ya FC Barcelona, mpaka sasa naona matunda yake tunaye mchezaji bora wa dunia king β™” Messi
 
Zinedine yazid zidane (zizle) ndiye bora, gaucho ni kama akina henry, na crespo
 
ukute ulikuwa hujazaliwa,dinhno halinganishwi na mchezaji yeyote

πŸ˜›πŸ˜› Watoto wa juzi juzi bhana raha sana, eti halinganishwi na player yeyote wakati hata kwenye level za akina batistuta,romario,kempes,redondo,cr7,de lima na wengineo wengi tu hajawafikia! Ni kama vile samatta afananishwe na Okocha ni kitu ambacho hakiwezekani hata kwa dawa!
 
Mimba bora mpaka saaa upande wa soccer ni ya gaucho tu
 

Nadhani anamaanisha Ronaldo de Lima Peru wa Brazil sio huyu wa kuungaunga
 
Apo sas mkuu unaongelea skills binafsi...sizani kam kuna mchezaji aliefika ata robo ya skills kwa gaucho...ukitaka waweke clip za skills humu utamkataa kabsa zidane wako!!.

kaka mbona km unaembeza king Zizzou??sikatai Gaucho ni habari nyingine lkn i doubt pia km kweli ushamuona king Zizzou akikichafua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…