Nani alimtoa bikra mke wako?

Dah! Me nilimtoa bikra dem wangu wa zamani alikuwa mlokole na alionyesha kunipenda lakini miezi kadhaa mbeli lilitokea jamaa moja lokole mwenzake likamchumbia na kumtolea mahari. Aisee nilipatwa na fever ya ghafla.
Ndo nikapata dem mmoja Tena alitemwa na mshikaji wake japo alinisumbua akijua na mm tamuumiza Ila nilimpenda aiseee yeye alinipenda zaidi na ni mwaka 3 niko nae maisha murwa kabisa na mahali nimemtolea na nipo kwenye process za ndoa.
 
Ukitaka kugombana na watu wengi ktk suala la mahusiano bac zungumzia bk....hasa wanawake hukerwa mno pale unapomhoji kuhusu namna gan bkra yke ilivyobutuliwa na kubak na bwawa!!!
 
Dunia ya utandawazi hii, siku hizi wanawake wengi wanatolewa bikra na matunda....ndizi, mihogo, karoti, midoli, michi ya kutwangia, n.k....kwa hiyo suala la ubikra wa mwanamke si issue sana.
 
Wewe umeshawatoa bikra wangapi na wako na nani sasa hivi?
Sio kila bikra inatoka kwa kujamiiana..
Sijui kama wanaume nao wanajina gani sawa na bikra kwa wanawake, Wewe ulifanya ngono na nani kwa mara ya kwanza? Uko nae?
Kuna mambo sio ya msingi saaana halafu yako kimfumo mfumo...
 
Wasi wasi ondoa niliyemtoa bikra ndo niliomuoa na niliwa oa ambaye sikumtoa bikra na ninajua kuwa kuna tofauti kati ya hizo hali mbili.Wanawake mnajua umuhimu wa kujitunza kwa ajili ya mume wako na wengi huwa mnaumia sana mnapotolewa bikra na watu wasiokuwa na heshima ambao amtaki hata kuwakumbuka.Ukweli ni kwamba kwa binti ambaye hana mtoto ukiwa hauna bikra ni haki ya mwanaume anayetaka kukuoa afahamu bikra yako ilitokaje hasa ikiwa mmekurana ukiwa chini ya miaka 25
 
Mkuu hiyo kitu ni ngumu sana kuiweka katika hali ya kuelewa . Nadhani itabidi utumie extral mile ya akili kujua nani kavunja ukuta wakwanza. Akikupenda sana atakuambia lkn ujue akishasema ni fulani expect something . Hawa watu huwa hawasahau the first person to meet lkn pia hawapendi sana kushare hilo. Maana maana kwao waona kama wataliweka wazi ni dhahiri kuwa watadharaulika . Anyway siyo kwa kila mtu.
 
Utatukaniwa wazazi. Futa huo uzi
 
Dah kudadek
BIKRALESS

[emoji1] [emoji1] [emoji1] umeniuaaa
 
Hii inshu huwa nikiifikiria napata ukakasi Sana katika akili yangu...., Anyway lakini pale nikumbukapo idadi ya wasichana niliowatoa bikra Enzo zangu nafarijika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…