Nani alimuua Yasser Arrafat?
Huyu jamaa kama kweli alikuwa na nia ya dhati ya kuumaliza huu mgogoro kwa amani na Israel ikahusika kwenye kifo chao basi ilikuwa ni bonge moja la Wrong Move na bila shaka wanavuna walichopanda.
 
Back
Top Bottom