MANCNOO JF-Expert Member Joined Sep 20, 2016 Posts 463 Reaction score 1,198 Nov 11, 2022 #21 Come27 said: Umeitaja sinza Palestina, Sisi watu wa sherui hatutapaelewa apo Click to expand... Utakuwa kukati au zabron wewe wa shelui mashine muuza mchele
Come27 said: Umeitaja sinza Palestina, Sisi watu wa sherui hatutapaelewa apo Click to expand... Utakuwa kukati au zabron wewe wa shelui mashine muuza mchele
Dr Matola PhD JF-Expert Member Joined Oct 18, 2010 Posts 60,050 Reaction score 104,466 Jan 13, 2024 #22 taamu said: Watauana we MWSHOWE nao watakufa,ariel alikufa kama mende. Click to expand... Ariel Sharon amekufa lini? mara mwisho niliisikia yupo Kwenye comma kwenye hospitali ya kijeshi, sijasikiaga tena taarifa zake.
taamu said: Watauana we MWSHOWE nao watakufa,ariel alikufa kama mende. Click to expand... Ariel Sharon amekufa lini? mara mwisho niliisikia yupo Kwenye comma kwenye hospitali ya kijeshi, sijasikiaga tena taarifa zake.
Kingsharon92 JF-Expert Member Joined Aug 10, 2015 Posts 7,843 Reaction score 10,321 Jan 13, 2024 #23 Dr Matola PhD said: Ariel Sharon amekufa lini? mara mwisho niliisikia yupo Kwenye comma kwenye hospitali ya kijeshi, sijasikiaga tena taarifa zake. Click to expand... 2014
Dr Matola PhD said: Ariel Sharon amekufa lini? mara mwisho niliisikia yupo Kwenye comma kwenye hospitali ya kijeshi, sijasikiaga tena taarifa zake. Click to expand... 2014
Mateso chakubanga JF-Expert Member Joined May 10, 2021 Posts 587 Reaction score 800 Jan 13, 2024 #24 Acha bana!!!
magnifico JF-Expert Member Joined Jan 14, 2013 Posts 11,075 Reaction score 24,634 Oct 18, 2024 #25 Huyu jamaa kama kweli alikuwa na nia ya dhati ya kuumaliza huu mgogoro kwa amani na Israel ikahusika kwenye kifo chao basi ilikuwa ni bonge moja la Wrong Move na bila shaka wanavuna walichopanda.
Huyu jamaa kama kweli alikuwa na nia ya dhati ya kuumaliza huu mgogoro kwa amani na Israel ikahusika kwenye kifo chao basi ilikuwa ni bonge moja la Wrong Move na bila shaka wanavuna walichopanda.