Nani alipambana na CHADEMA akashinda? Huyu nae akiendelea, hafiki mbali na anaeweza kwenda na kuiacha CHADEMA iko imara

Lugola aliangukia pua
 
Mwenyezi Mungu alivyo fundi anatembea na kila anaejionesha yupo upande wa sukuma gang mpaka waishe
 
Huyu tutapata jibu lake kabla ya 17.03.2022, wait and see
 
ushindi vitani ni kuhakikisha unabaki hai. Ukifa umefeli. Jiwe kafeli vibaya
ishu ni CCM bado ipo palepale hadi mmekubali mama anaupiga mwingi.......huku sio saccos ya mtu mmoja maana mnaona gaidi akipotea na saccos imekufa tofauti sana na CCM kimetoka chuma kimekuja chuma.......kwako mwalimu Kashasha
 
ishu ni CCM bado ipo palepale hadi mmekubali mama anaupiga mwingi.......huku sio saccos ya mtu mmoja maana mnaona gaidi akipotea na saccos imekufa tofauti sana na CCM kimetoka chuma kimekuja chuma.......kwako mwalimu Kashasha
kwa hiyo jiwe mmemula kichwa?
 
Acheni kumhusisha Mungu na siasa zenu za hovyo.
Mungu ni wa wote .
Wadhambi na wasio wadhambi..
Chadema wapo wabaya na wazuri kama ilivyo kwa vyama vyote vya siasa.
Pambaneni kisiasa acheni kumhusisha Mungu na vitu vya hovyo
 
Kila atakayeihujumu Chadema lazima yamkute mabaya ikiwa ni pamoja na kifo cha mateso
Pasipo kuombewa kuugua pole na yeyote isipokuwa wote watanena "RIP".
CDM ni hatari kwa haters wote wa TRUE DEMOCRACY&INDEPENDENT THINKING.
 
unapaswa ujue kuwa Vyombo vya ulinzi na usalama vina pambana na vitaendelea kupambana na vitendo vyote vya Uvunjifu wa Amani na Usalama wa Taifa letu.
kamwe! hatovumilwa mtu yeyote yule atakaye jaribu kupanga, kufanikisha au kutenda vitendo vya uvunjifu wa Amani na Usalama wa nchi yetu.
Amani na Usalama wa nchi yetu ni muhimu zaidi kuliko chadema.
 
Hivyo vyombo viko kulinda kwanza masilahi ya CCM na sio Taifa hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…