Nani alipambana na CHADEMA akashinda? Huyu nae akiendelea, hafiki mbali na anaeweza kwenda na kuiacha CHADEMA iko imara

Ogopa sana kupambana na imani za watu, chama chenye wanachama hai 7m, bado wafuasi, jua pia kuwa chama hiki kinaugwa mkono na vijana hasa wasomi, wanaojitambua.
Hapo kwenye 7m una hakika ingekuwa hivyo wapinzani waowasingetafuta usaidizi wote wanaoutafuta pindi wakiwahotaji wanachama wao ili kutimiza malen go yao.
 
Nimesema ni yule dhalim mwendazake aliyeko jehanam
Jehanam ndo wapi blaza.....sie weusi ukifa tunajua unaenda kukutana na mababu unakua kamzimu...........anko Magu kaenda kuongeza sapoti huko huoni hadi mnakubali watu wanaupiga mwingi..........nyie wa imani za mabeberu mtajijua wenyewe na hio jehanam yenu yakufikirika
 
Siku zote gaidi akishindwa bado anajisifia ameshinda kama chadema mnajisifia mlishinda mkahujumiwa kweli gaidi hasarendi
 
Basi mhujumu na nyie maana miaka yote ni ngonjera tu bado hamjapata ufumbuzi? Kila uchaguzi ni sababu tu
Ufumbuzi umeshapatikana tunasubiri funding tu 2025 kitaeleweka tu
 
Kubwa la mipango ya kuwafuta viongozi limedakwa hivyo hakuna kero kwa sasa, wale vidagaa wakikurupuka tu ndani ya nyavu
Nchi iko salama bwashee
Hahahahahaha nmecheka kwa sauti [emoji1][emoji1][emoji1]
 
Nyinyi puyangeni kwenye media wenzenu CCM wanapuyanga na Jamana printers.
 
Cdm ni chama cha watu wenye akili nyingi
 
Chadema lazima iangaliwe kwa jicho la tatu, kama mwenyekiti wa chama alikuwa Katili wa kupanga mauaji ya watu wengine, je hao walio chini yake na wafuasi aliwafundisha kitu gani kama sio uhalifu na ujambazi?! inawezekana sio wote lkn baadhi yao lazima wafuatiliwe ili kubaini matendo yao na wachukuliwe hatua kali za kisheria.
Tunamshauri Msajili wa Vyama vya siasa afute huu mkusanyiko wa wahalifu walio jificha kwenye mwamvuli wa chama cha kisiasa.
Amani ya nchi yetu lazima italindwa kwa gharama yoyote ile, hatuko kuona kikundi cha watu wachache kinajaribu kuchezea amani ya nchi yetu.
kamwe hato chekewa mtu yeyote.
 
Dah! Chadema mnajua kujiliwaza! Chama hakina mwenyekiti wa mtaa wala kijiji, eti Chadema ni mpango wa Mungu!
Chadema mgombea Urais wake alikuwa anahubiri Usodoma na Gomora uliomfanya Mungu aiteketeze dunia, eti Chadema ni mpango wa Mungu!
Chadema yenye wafuasi waliowatukana wanawake akina Mdee matusi yote waliyoweza kuyafikiria na kuyatunga, eti Chadema ni mpango wa Mungu!
Chadema yenye viongozi wanaoamini bila wao nchi haiwezi kutawalika mpaka Kiongozi wao ameishia kuwa GAIDI lenye kupanga njama za kuwaua viongozi wa Kiserikali ili lenyewe liongoze, eti Chadema ni mpango wa Mungu!
Chadema yenye wafuasi ambao kila wanapoambiwa na viongozi wao waingie mtaani kudai haki zao, wao wanaugyata na kukimbilia JF na kuanza kuandika eti Chadema ni mpango wa Mungu!

Ikumbukwe, Mungu upenda kuwadhihiri hadharani wahuni (kama Lissu, Lema, Mdude na Gaidi Mbowe) ili waadhibiwe duniani na Yeye awashughulikie wakifika kwake!
 
We pungasese wewe! Uchaguzi uliopita chadema mlishinda viti vingapi? Mkapoteana, wengine hadi leo wanaogopa kurudi wakihofia usaliti wa nchi walioufanya.

Mtateseka sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…