Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,893
- 20,089
Sio aliyeko undisclosed locationGaidi ni yule aliyeko motoni sasa hivi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio aliyeko undisclosed locationGaidi ni yule aliyeko motoni sasa hivi
Hapo kwenye 7m una hakika ingekuwa hivyo wapinzani waowasingetafuta usaidizi wote wanaoutafuta pindi wakiwahotaji wanachama wao ili kutimiza malen go yao.Ogopa sana kupambana na imani za watu, chama chenye wanachama hai 7m, bado wafuasi, jua pia kuwa chama hiki kinaugwa mkono na vijana hasa wasomi, wanaojitambua.
Nimesema ni yule dhalim mwendazake aliyeko jehanamSio aliyeko undisclosed location
Jehanam ndo wapi blaza.....sie weusi ukifa tunajua unaenda kukutana na mababu unakua kamzimu...........anko Magu kaenda kuongeza sapoti huko huoni hadi mnakubali watu wanaupiga mwingi..........nyie wa imani za mabeberu mtajijua wenyewe na hio jehanam yenu yakufikirikaNimesema ni yule dhalim mwendazake aliyeko jehanam
Ufumbuzi umeshapatikana tunasubiri funding tu 2025 kitaeleweka tuBasi mhujumu na nyie maana miaka yote ni ngonjera tu bado hamjapata ufumbuzi? Kila uchaguzi ni sababu tu
Hahahahahaha nmecheka kwa sauti [emoji1][emoji1][emoji1]Kubwa la mipango ya kuwafuta viongozi limedakwa hivyo hakuna kero kwa sasa, wale vidagaa wakikurupuka tu ndani ya nyavu
Nchi iko salama bwashee
aweze kupambana na chademaChadema ina uimara gani kutoka wabunge 100 hadi mmebakiwa na mbunge moja nyie mnachekesha kweli kusema chadema ipo imara
Mtasubiri sana .......hakuna vya bureUfumbuzi umeshapatikana tunasubiri funding tu 2025 kitaeleweka tu
Baba akiona mtoto anazidi kua mpuuzi lazima amnyooshe ashike adabuHata bibi imebidi awe dictator
aweze kupambana na chadema
Mbona kama ni mahaba mbona hata wewe unayoLini Sasa Chadema ilishinda ikaongoza nchi? We naye Una mahaba tu!
Sent from my 5033X_EEA using JamiiForums mobile app
Pole sana ndugu,Lini Sasa Chadema ilishinda ikaongoza nchi? We naye Una mahaba tu!
Sent from my 5033X_EEA using JamiiForums mobile app
Jibu nilichouliza Acha porojoPole sana ndugu,
Kujitoa fahamu ni kufumba macho ili usiuone ukweli kwa matumaini kuwa nao hautakuona
Cdm ni chama cha watu wenye akili nyingiNaomba niwawleze CHADEMA ni mpango wa Mungu kwa watanzania, hakuna ataeshindana na hiki chama akakiweza. Hakuna,hakuna na hatatokea.
Wanaopambana na CHADEMA wanapambana na nguvu za Mungu na ndio maana hiki chama mpaka leo kipo imara. Wanapoteza muda tu na resources zao bure tu.
Yule aliesema vyama vya upinzani ni vyama vya msimu, alipambana nacho ila mwisho wa siku aliondoka Magogoni akiacha CHADEMA ikiwa imara kuliko jana.
Akaja mwingine mwenye akili sifuri alieamini katika kutumia mabavu na biashara ya kununua wanasiasa akiamini kwa kutumia mbinu hizo ndio ataiua CHADEMA, ila mwisho wa siku kafa yeye kaicha CHADEMA imara kuliko hata chama chake kilichokuwa kinabebwa kwa lila namna.
Sasa kaja mwingine ambae nae hataki kutazama historia na kujiuliza kama wenzake wameshindwa yeye ndio ataweza?
Narudiia, kupambana na CHADEMA sio kupambana na Mbowe,Lissu,Heche au kamanda mwingine yoyote, bali ni kupambana na mwenye Mamlaka Mbinguni na duniani na asiporudi nyuma, nae atakipata anachokitafuta kutoka kwa huyo mwenyewe Mamlaka yote.
Kama ambavyo Mussa aliteuliwa na Mungu kuwaokoa wana wa Israel waliokuwa wanateseka nchini Misri, ndivyo hivyo hivyo kaiteua CHADEMA kupambana na Goliati CCM na hakika huyu Goliati atashindwa hii vita.
Binafsi naamini kilichomuondoa yule dikteta ni mpango wake wa kutamka kummaliza Mwenyekiti ila Mungu akaingiia kati na akamuondoa kama anavyoweza kumuondoa huyu anaejaribu kuiga bila kutafakari kwa kina.
Kupambana na CHADEMA ni kutafuta aibu, fedheha na anguko baya na ndio maana wote waliojaribu kupambana na hiki chama(serikali, watu binafsi, n.k,), wote wameangukia pua.Kama yupo aliewahi ishinda CHADEMA, nitajieni na mimi nimjue.
CHADEMA si NCCR, CUF au vyama vingine, bali hiki chams ni namba nyingine na ndio maana kimeweza kutawla ligi ya vyama vingi kwa miaka mingi mfululizo licha ya waamuzi kutokuwa fair kwani husajili wachezaji wenye viwango na ndio maana timu pinzani huwanunua wakiamini watawasaidia ila mambo hua kinyume chake.
Baada ya kuona CHADEMA ni unbeaten ndani ya uwanja kwa miaka mingi, wakaanza fitina nje ya uwanja, ila nawaambia hata hii mbinu ambayo wamekuwa wakiitumia kwa muda sasa, nayo itashindwa tu.
Hivyo, kwa wakati huu, tusubiri na hatima ya huyu alieamua kupambana na hiki chama tuone atafika wapi.
Dah! Chadema mnajua kujiliwaza! Chama hakina mwenyekiti wa mtaa wala kijiji, eti Chadema ni mpango wa Mungu!Naomba niwawleze CHADEMA ni mpango wa Mungu kwa watanzania, hakuna ataeshindana na hiki chama akakiweza. Hakuna,hakuna na hatatokea.
Wanaopambana na CHADEMA wanapambana na nguvu za Mungu na ndio maana hiki chama mpaka leo kipo imara. Wanapoteza muda tu na resources zao bure tu.
Yule aliesema vyama vya upinzani ni vyama vya msimu, alipambana nacho ila mwisho wa siku aliondoka Magogoni akiacha CHADEMA ikiwa imara kuliko jana.
Akaja mwingine mwenye akili sifuri alieamini katika kutumia mabavu na biashara ya kununua wanasiasa akiamini kwa kutumia mbinu hizo ndio ataiua CHADEMA, ila mwisho wa siku kafa yeye kaicha CHADEMA imara kuliko hata chama chake kilichokuwa kinabebwa kwa lila namna.
Sasa kaja mwingine ambae nae hataki kutazama historia na kujiuliza kama wenzake wameshindwa yeye ndio ataweza?
Narudiia, kupambana na CHADEMA sio kupambana na Mbowe,Lissu,Heche au kamanda mwingine yoyote, bali ni kupambana na mwenye Mamlaka Mbinguni na duniani na asiporudi nyuma, nae atakipata anachokitafuta kutoka kwa huyo mwenyewe Mamlaka yote.
Kama ambavyo Mussa aliteuliwa na Mungu kuwaokoa wana wa Israel waliokuwa wanateseka nchini Misri, ndivyo hivyo hivyo kaiteua CHADEMA kupambana na Goliati CCM na hakika huyu Goliati atashindwa hii vita.
Binafsi naamini kilichomuondoa yule dikteta ni mpango wake wa kutamka kummaliza Mwenyekiti ila Mungu akaingiia kati na akamuondoa kama anavyoweza kumuondoa huyu anaejaribu kuiga bila kutafakari kwa kina.
Kupambana na CHADEMA ni kutafuta aibu, fedheha na anguko baya na ndio maana wote waliojaribu kupambana na hiki chama(serikali, watu binafsi, n.k,), wote wameangukia pua.Kama yupo aliewahi ishinda CHADEMA, nitajieni na mimi nimjue.
CHADEMA si NCCR, CUF au vyama vingine, bali hiki chams ni namba nyingine na ndio maana kimeweza kutawla ligi ya vyama vingi kwa miaka mingi mfululizo licha ya waamuzi kutokuwa fair kwani husajili wachezaji wenye viwango na ndio maana timu pinzani huwanunua wakiamini watawasaidia ila mambo hua kinyume chake.
Baada ya kuona CHADEMA ni unbeaten ndani ya uwanja kwa miaka mingi, wakaanza fitina nje ya uwanja, ila nawaambia hata hii mbinu ambayo wamekuwa wakiitumia kwa muda sasa, nayo itashindwa tu.
Hivyo, kwa wakati huu, tusubiri na hatima ya huyu alieamua kupambana na hiki chama tuone atafika wapi.
We pungasese wewe! Uchaguzi uliopita chadema mlishinda viti vingapi? Mkapoteana, wengine hadi leo wanaogopa kurudi wakihofia usaliti wa nchi walioufanya.Naomba niwawleze CHADEMA ni mpango wa Mungu kwa watanzania, hakuna ataeshindana na hiki chama akakiweza. Hakuna,hakuna na hatatokea.