Nani aliruhusu Hii picha ipigwe hadharani namna hii?

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
4,118
Reaction score
9,864
Mimi Huwa nashindwa kuelewa weledi wa vyombo vya ulinzi na usalama TZ.

Vitu sentive Huwa hawana macho ya kuviona, binafsi siamini kama kweli hili eneo Halina askari kazu.
Screenshot_20230402-153056.jpg
 
Stage ya kwanza ilikuwa ni ku create awareness na tukawasaidia kutangaza nembo zao bila ya Malipo

sasa hivi wakipiga picha wanatutumia tunaanza tena kusambaza …tena wamechagua Manzese Manzese uswahili

hata ukiwakamata unawashtaki kwa sheria gani na kwa kosa gani?

Jamaa wako kimkakati na sie tupo kimihemko hemko

kwny World cup ya Qatar waliweka lengo la kutambulisha nembo zao na hilo wakafanikiwa sana

Dege la Ujerumani lenye nembo zao lingetua pale na kushusha wachezaji isingekuwa story lakini ile kuzuiwa kutua na kurudishwa kwao kubadili ndege ilifanya lila mtu atamani kuona na kujifunza hizo alama

Wale Jamaa waliokuwa wanavaa tishert zenye alama zao wangeachiwa kutazama mpira na kuondoka isingekuwa ishu ila walivaa zile ili wazuiwe watengeneze story na wakafanikiwa

Komaa fundisha watoto wako na watu wako wa karibu maadili na misingi bora ya maisha na omba Mungu

mie nimezaliwa na kukulia kwny vijumba vya bhangi na Mirungi na mipombe lakini sijawahi kuonja Mimi binafsi wala Ndugu wala watoto wangu kutokana na malezi bora pamoja barka zake Maulana

kuna Mabinti wamekulia katikati ya uwanja wa fisi lakini waliweka stara usichana wao hadi wakaolewa

pambania zaid maadili kwny jamii yako kwa kuwafundisha logic ya kila wanachopaswa kufanya na wanachotakiwa kuacha …wakielewa na kutii hata walalie bendera zenye rangi hizo hawawezi kuwa Team liwati
 
Dah! Hatimaye leo nimekutana na mtu ambaye tunaliwaza hili suala kwa angle tofauti na wengi.

NAONGEZEA.
Hata hili la juzi la Mwakyembe na wenzake kutoa zile data it was an indirect report kwa wakubwa wao waliokuja na yule makamu. Watu wanaona kama anapinga wakati mimi naona alikua akisaidia publicity ya mashirika ili watu wakajiunge huko lakini at the same time akieleza kuwa wapo salama na wanaendekea na shughuli zao bila tatizo na wamefanikiwa kuwa na database na wanachama hai.

Hili suala limekua likioewa free promo bila sisi kujua, na mwisho wa siku kile wanachokilenga kuwa suala hili liwe common masikioni mwa watu wanakipata tena toka kwa watu wenye ushawishi kwa jamii.
 
Kikubwa hapa mkuu kuwe kuna operesheni ya kimya kimya kutokomeza haya magenge nikimaanisha mpaka wanaowanunua nao kamata finya kimya kimya mpaka waje kushtuka hawana mwanachama hai tena kwenye nchi ya Tanzania

Na hilo linawezekana kabisa
 
Stage ya kwanza ilikuwa ni ku create awareness na tukawasaidia kutangaza nembo zao bila ya Malipo

sasa hivi wakipiga picha wanatutumia tunaanza tena kusambaza …tena wamechagua Manzese Manzese uswahili

hata ukiwakamata unawashtaki kwa sheria gani na kwa kosa gani?

Jamaa wako kimkakati na sie tupo kimihemko hemko

kwny World cup ya Qatar waliweka lengo la kutambulisha nembo zao na hilo wakafanikiwa sana

Dege la Ujerumani lenye nembo zao lingetua pale na kushusha wachezaji isingekuwa story lakini ile kuzuiwa kutua na kurudishwa kwao kubadili ndege ilifanya lila mtu atamani kuona na kujifunza hizo alama

Wale Jamaa waliokuwa wanavaa tishert zenye alama zao wangeachiwa kutazama mpira na kuondoka isingekuwa ishu ila walivaa zile ili wazuiwe watengeneze story na wakafanikiwa

Komaa fundisha watoto wako na watu wako wa karibu maadili na misingi bora ya maisha na omba Mungu

mie nimezaliwa na kukulia kwny vijumba vya bhangi na Mirungi na mipombe lakini sijawahi kuonja Mimi binafsi wala Ndugu wala watoto wangu kutokana na malezi bora pamoja barka zake Maulana

kuna Mabinti wamekulia katikati ya uwanja wa fisi lakini waliweka stara usichana wao hadi wakaolewa

pambania zaid maadili kwny jamii yako kwa kuwafundisha logic ya kila wanachopaswa kufanya na wanachotakiwa kuacha …wakielewa na kutii hata walalie bendera zenye rangi hizo hawawezi kuwa Team liwati
Naunga mkono hoja
 
Manzese daraja hyo hapo kati TipTop magesti kibao kuliko nyumba za watu
 
Zipo kibao kwenye page yao yaani unajiuliza wakati wanapiga watu wengine wanakua wapi au ndio sio shida zao
 
Back
Top Bottom