Ikizungumzwa dini wengi mawazo yao huishia kwa Masheikh, ma ustadh, wachungaji, maaskofu na ma padri
Kwa mfano kwny Uislam Mtume wakati anaondoka Duniani Duniani aliulizwa unawaachia nini Umma ( wafuasi) wako…akajibu anawaachia Qur an na hadithi ( mafundisho ) hakuna sehemu alisema anatuachia ma Ustadh wala ma Sheikh …alisisitiza tushikamane na Teachings sio wasomi wa dini
ukiambiwa fundisha watoto wako dini haimaanishi uwafundishe tabia za ma Sheikh wala wachungaji nina maana wafundishe maadili mema ambayo msingi wake ni dini au utamaduni wako unaoamini ni sahihi