The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
itabidi hata ku google tuogope maana kule nako wameshaweka weka bendera yao kitamboHawa mashoga na wasagaji Wamejimilikisha rangi mhimu sana pumbavu kabisa
Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app
Dah! Hatimaye leo nimekutana na mtu ambaye tunaliwaza hili suala kwa angle tofauti na wengi.Stage ya kwanza ilikuwa ni ku create awareness na tukawasaidia kutangaza nembo zao bila ya Malipo
sasa hivi wakipiga picha wanatutumia tunaanza tena kusambaza …tena wamechagua Manzese Manzese uswahili
hata ukiwakamata unawashtaki kwa sheria gani na kwa kosa gani?
Jamaa wako kimkakati na sie tupo kimihemko hemko
kwny World cup ya Qatar waliweka lengo la kutambulisha nembo zao na hilo wakafanikiwa sana
Dege la Ujerumani lenye nembo zao lingetua pale na kushusha wachezaji isingekuwa story lakini ile kuzuiwa kutua na kurudishwa kwao kubadili ndege ilifanya lila mtu atamani kuona na kujifunza hizo alama
Wale Jamaa waliokuwa wanavaa tishert zenye alama zao wangeachiwa kutazama mpira na kuondoka isingekuwa ishu ila walivaa zile ili wazuiwe watengeneze story na wakafanikiwa
Komaa fundisha watoto wako na watu wako wa karibu maadili na misingi bora ya maisha na omba Mungu
mie nimezaliwa na kukulia kwny vijumba vya bhangi na Mirungi na mipombe lakini sijawahi kuonja Mimi binafsi wala Ndugu wala watoto wangu kutokana na malezi bora pamoja barka zake Maulana
kuna Mabinti wamekulia katikati ya uwanja wa fisi lakini waliweka stara usichana wao hadi wakaolewa
pambania zaid maadili kwny jamii yako kwa kuwafundisha logic ya kila wanachopaswa kufanya na wanachotakiwa kuacha …wakielewa na kutii hata walalie bendera zenye rangi hizo hawawezi kuwa Team liwati
Kikubwa hapa mkuu kuwe kuna operesheni ya kimya kimya kutokomeza haya magenge nikimaanisha mpaka wanaowanunua nao kamata finya kimya kimya mpaka waje kushtuka hawana mwanachama hai tena kwenye nchi ya TanzaniaDah! Hatimaye leo nimekutana na mtu ambaye tunaliwaza hili suala kwa angle tofauti na wengi.
NAONGEZEA.
Hata hili la juzi la Mwakyembe na wenzake kutoa zile data it was an indirect report kwa wakubwa wao waliokuja na yule makamu. Watu wanaona kama anapinga wakati mimi naona alikua akisaidia publicity ya mashirika ili watu wakajiunge huko lakini at the same time akieleza kuwa wapo salama na wanaendekea na shughuli zao bila tatizo na wamefanikiwa kuwa na database na wanachama hai.
Hili suala limekua likioewa free promo bila sisi kujua, na mwisho wa siku kile wanachokilenga kuwa suala hili liwe common masikioni mwa watu wanakipata tena toka kwa watu wenye ushawishi kwa jamii.
Naunga mkono hojaStage ya kwanza ilikuwa ni ku create awareness na tukawasaidia kutangaza nembo zao bila ya Malipo
sasa hivi wakipiga picha wanatutumia tunaanza tena kusambaza …tena wamechagua Manzese Manzese uswahili
hata ukiwakamata unawashtaki kwa sheria gani na kwa kosa gani?
Jamaa wako kimkakati na sie tupo kimihemko hemko
kwny World cup ya Qatar waliweka lengo la kutambulisha nembo zao na hilo wakafanikiwa sana
Dege la Ujerumani lenye nembo zao lingetua pale na kushusha wachezaji isingekuwa story lakini ile kuzuiwa kutua na kurudishwa kwao kubadili ndege ilifanya lila mtu atamani kuona na kujifunza hizo alama
Wale Jamaa waliokuwa wanavaa tishert zenye alama zao wangeachiwa kutazama mpira na kuondoka isingekuwa ishu ila walivaa zile ili wazuiwe watengeneze story na wakafanikiwa
Komaa fundisha watoto wako na watu wako wa karibu maadili na misingi bora ya maisha na omba Mungu
mie nimezaliwa na kukulia kwny vijumba vya bhangi na Mirungi na mipombe lakini sijawahi kuonja Mimi binafsi wala Ndugu wala watoto wangu kutokana na malezi bora pamoja barka zake Maulana
kuna Mabinti wamekulia katikati ya uwanja wa fisi lakini waliweka stara usichana wao hadi wakaolewa
pambania zaid maadili kwny jamii yako kwa kuwafundisha logic ya kila wanachopaswa kufanya na wanachotakiwa kuacha …wakielewa na kutii hata walalie bendera zenye rangi hizo hawawezi kuwa Team liwati
Daahitabidi hata ku google tuogope maana kule nako wameshaweka weka bendera yao kitambo
ashura wa manzese huyo, akikupitia mita 30 , unasikia stench ya kwapa hii hapaivi huyo binti anaekenua alikua anajua anachofanya kweli
Daah mask [emoji3][emoji3][emoji3] tatu duuh si unakosa oxygen sasa Kisha una suffocate unapoteza uhai.ashura wa manzese huyo, akikupitia mita 30 , unasikia stench ya kwapa hii hapa
hao ndiyo wale unagonga ukiwa na masks 3, ndom 6
Zamani upinde rangi hizo ukiona angani unakimbia kutafuta maficho.Hawa mashoga na wasagaji Wamejimilikisha rangi mhimu sana pumbavu kabisa
Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app
Afu unaambiwa tuna TISSZipo kibao kwenye page yao yaani unajiuliza wakati wanapiga watu wengine wanakua wapi au ndio sio shida zao