lunatoc
JF-Expert Member
- Aug 16, 2017
- 2,911
- 5,479
Una kichaa wewe ,Kikao cha nini? Majina ya viti maalumu huwa yanajulikana kwa kuwa yanashindanishwa majimboni na orodha hiyo inaanza juu mpk chini
Orodha ilishapelekwa na kikao walishakaa na barua iliandikwa
Kwahiyo Halima mdee Jina lake la Viti Maalumu lilishinanishwa Jimboni wakati aligombea Bunge Jimbo La KAWE ? Au unajitia ukichaa?
Hivi kwanini vijana wa Tanzania mmekuwa wajinga Sana namna hii
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app