Nani alithibitisha kuwa Mdee na wenzake wamegushi sahihi? Kughushi ni jinai walishawahi kufunguliwa jalada Polisi ili uchunguzi ufanyike?

Nani alithibitisha kuwa Mdee na wenzake wamegushi sahihi? Kughushi ni jinai walishawahi kufunguliwa jalada Polisi ili uchunguzi ufanyike?

Kikao cha nini? Majina ya viti maalumu huwa yanajulikana kwa kuwa yanashindanishwa majimboni na orodha hiyo inaanza juu mpk chini

Orodha ilishapelekwa na kikao walishakaa na barua iliandikwa
Una kichaa wewe ,

Kwahiyo Halima mdee Jina lake la Viti Maalumu lilishinanishwa Jimboni wakati aligombea Bunge Jimbo La KAWE ? Au unajitia ukichaa?

Hivi kwanini vijana wa Tanzania mmekuwa wajinga Sana namna hii

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Najua mazingira hayakuwa rafiki kutokana na aina ya utawala uliokuwepo ila ingesaidia hili suala kuingia kwenye record.

Kughushi ni jinai, sasa mtu kafanya jinai hujaenda polisi ili walishughulikie unabaki kulalamika mtandaoni. Kama CHADEMA walitoa taarifa sawa ila kama hawakutoa nani ataamini kuwa hawa jamaa walighushi nyaraka?

Ni kweli jinai haifi, unaibiwa tv mwaka wa kwanza, wa pili, wa tatu uko kimya unalalamika tu mtaani, mwaka nne unaenda kupambania TV yako mahakamani nani atakuamini?
Bana wewe

Uwapeleke polisi ipi??

Hii ya Tanzania??

Make hapo ncheke kwanza

64448A60-6E95-46E1-9D64-339372FFCFDE.jpeg
 
Back
Top Bottom