Kwa % fulani n umaskini unachangia, Ila % kubwa ni imani za kishamba tuSo ni umasikini ndo tatizo kwako siyo 😀 asante kwa majibu
So kuna issue ya kiusalama,na umasikini eg mende magodoro machafuWengi wanahama usiku kwa sababu hawataki tu watu wajue wala sio imani, na pia kuna maeneo mengi wezi wana trace mtu kahama ana vitu fulani wanakuja kukuwinda usiku!
Mwingine ndoivyo magodoro machafu mende kunguni sio vitu vya kuonesha watu njia nzima! Japo siku hizi naona watu wanahama tu utajali wewe!
Sasa mkuu ghetoni kwangu namiliki ndoo za maji tu na mabox ya kulalia unataka nihame mchana ili unichekeHabari wakuu,
Kuna jambo nimekuwa nikiliona mara kwa mara kwenye jamii yetu. Watu wengi huamini kwamba kuhama nyumba ni jambo linalopaswa kufanyika usiku, kiasi kwamba mtu akihama mchana huonekana kama amefanya kitu kisicho cha kawaida.
Binafsi najiuliza, hii dhana ilianzia wapi? Je, kuna sababu za msingi zinazofanya watu wahame usiku zaidi kuliko mchana, au ni mazoea tu yaliyojengeka kwenye jamii?
Kwa mtazamo wangu, kuhama ni kuhama tu, iwe mchana au usiku. Kila muda una faida na changamoto zake. Lakini bado wengi wanaonekana kuhusisha kuhama usiku na usiri, uchumi wa gharama, au hata imani fulani za kijamii.
Je, wewe unaonaje? Umewahi kuhama mchana au usiku? Unafikiri kwa nini watu wengi hupendelea kuhama usiku?
Karibuni kwa maoni na uzoefu wenu.
Nimekupata tu kila mmoja na reasons zakeNadhani ni kasumba iliyozoeleka.
1.Watu hawataki vitu wanavyomiliki vionekane.
2.WEngine hawataki kujulikana kuwa wanahama.( kukwepa madeni na maswali mengi)
3. Mara nyingi mtu anafanya maandalizi, kupanga vitu, hadi anakuja kuhama tayari ni jioni.
4. Ndio muda ambao mtu anakuwa free. Ametoka mihangaikoni.
mimi ni mara moja tuu ndio nilihama asubuhi, na kipindi hicho sikuwa na vitu vingi. Na sehemu niliyokuwa na hamia ilikuwa ni karibu.
Napakia kwenye keta yenye turubai hawezi kuona nahama machana mimiSababu kubwa na ya msingi ni usiri,na huo usiri unakuepusha na mengi,ikiwemo usalama wa mali zako.
Kama wewe ni maskini unajistiri na umaskini wako,fikiria unahama mchana na makochi yako yamechoka au magodoro yamechoka hatar,halafu jirani zako wote wanashuhudia,hapo utaanza kudharauliwa mapema
Fikiria wewe uko fresh,umeshusha screen yako nchi 75,je vibaka hawajakutamani,una vifaa vya umeme vya kisasa je hujakaribisha wezi bado?
Kwahiyo watu hawahaki usiku kwa sababu za kishirikina au labda kwakuwa ni desturi ,ila kwasababu ambazo nimeeleza hapo.
Nakumbuka mm kabla sijatoka home na kuanza kujitegemea, nilianza kununua vitu kdg kdg.mimi ni mara moja tuu ndio nilihama asubuhi, na kipindi hicho sikuwa na vitu vingi. Na sehemu niliyokuwa na hamia ilikuwa ni karibu.
Huku mbeya nimeona wengi wakikamatwa na mizigo yao kwa kosa la kuhama usiku,maana iligundulika watu wanaiba na kujifanya wanahamaKwa nini nipe notes niokote mkuu
Je wakati wa kushusha kama nyumba haina uzio?Napakia kwenye keta yenye turubai hawezi kuona nahama machana mimi