Masaki, Oyster Bay, Nairobi, kisasa, shangani,watu wanahama mchana tu,Habari wakuu,
Kuna jambo nimekuwa nikiliona mara kwa mara kwenye jamii yetu. Watu wengi huamini kwamba kuhama nyumba ni jambo linalopaswa kufanyika usiku, kiasi kwamba mtu akihama mchana huonekana kama amefanya kitu kisicho cha kawaida.
Binafsi najiuliza, hii dhana ilianzia wapi? Je, kuna sababu za msingi zinazofanya watu wahame usiku zaidi kuliko mchana, au ni mazoea tu yaliyojengeka kwenye jamii?
Kwa mtazamo wangu, kuhama ni kuhama tu, iwe mchana au usiku. Kila muda una faida na changamoto zake. Lakini bado wengi wanaonekana kuhusisha kuhama usiku na usiri, uchumi wa gharama, au hata imani fulani za kijamii.
Je, wewe unaonaje? Umewahi kuhama mchana au usiku? Unafikiri kwa nini watu wengi hupendelea kuhama usiku?
Karibuni kwa maoni na uzoefu wenu.
Nawapongeza wanaohama usiku kwa sababu wanaepusha mengi. Ya nini kujivua utu.Habari wakuu,
Kuna jambo nimekuwa nikiliona mara kwa mara kwenye jamii yetu. Watu wengi huamini kwamba kuhama nyumba ni jambo linalopaswa kufanyika usiku, kiasi kwamba mtu akihama mchana huonekana kama amefanya kitu kisicho cha kawaida.
Binafsi najiuliza, hii dhana ilianzia wapi? Je, kuna sababu za msingi zinazofanya watu wahame usiku zaidi kuliko mchana, au ni mazoea tu yaliyojengeka kwenye jamii?
Kwa mtazamo wangu, kuhama ni kuhama tu, iwe mchana au usiku. Kila muda una faida na changamoto zake. Lakini bado wengi wanaonekana kuhusisha kuhama usiku na usiri, uchumi wa gharama, au hata imani fulani za kijamii.
Je, wewe unaonaje? Umewahi kuhama mchana au usiku? Unafikiri kwa nini watu wengi hupendelea kuhama usiku?
Karibuni kwa maoni na uzoefu wenu.
Upo sahihi mkuu kwa maoni yakoMasaki, Oyster Bay, Nairobi, kisasa, shangani,watu wanahama mchana tu,
Huku kwetu uswazi, ni umaskini tu, sitaki watu waone jinsi magodoro,makochi, viti, vyangu vilivyochakaa,
Nakumbuka nilikuwa nahama bunju, sasa Nina vitu vya bei mbaya, ma hisence, samsung tv, friji, washing machine nk, mchana saa Saba,
Kuna namna, watu wanavyokuangalia, kama upo poa, ohhh, jamaa kumbe yupo vzr,maflat tv ya kibabe, sasa kama godoro limechakaa, sinitachekwa, mie,Bora watu wasinijue kwa undani kuhusu umaskini wangu, ndio maana tunahama usiku
Huo ni mtazamo wako. Lakini kuhama usiku ni kitu kizuri zaidi kwa ajili pia ya usalama wa mwenye Mali.So kuhama mchana ni majivuno tena
Mahisense, masamsung, mafriji, maflat tvMasaki, Oyster Bay, Nairobi, kisasa, shangani,watu wanahama mchana tu,
Huku kwetu uswazi, ni umaskini tu, sitaki watu waone jinsi magodoro,makochi, viti, vyangu vilivyochakaa,
Nakumbuka nilikuwa nahama bunju, sasa Nina vitu vya bei mbaya, ma hisence, samsung tv, friji, washing machine nk, mchana saa Saba,
Kuna namna, watu wanavyokuangalia, kama upo poa, ohhh, jamaa kumbe yupo vzr,maflat tv ya kibabe, sasa kama godoro limechakaa, sinitachekwa, mie,Bora watu wasinijue kwa undani kuhusu umaskini wangu, ndio maana tunahama usiku
Inawezekana mali zenyewe zikawa n masufuria Na ndoo za majiHuo ni mtazamo wako. Lakini kuhama usiku ni kitu kizuri zaidi kwa ajili pia ya usalama wa mwenye Mali.
Vinaweza visiwe kwako vya muhimu ila yeye kapata kwa shidaInawezekana mali zenyewe zikawa n masufuria Na ndoo za maji
Weekend ndo siku zakupga hela hzo sasa abiria wengi sana .kiulisia mda ni mchache mpaka aoe ndo patatulia mkuuWeekend basi eboo
Askari wanawasumbua.Kwani Canter haziruhusiwi kufanya kazi mchana mkuu?