Wewe huna ubongo kabisa tena mpuuzi. Hakuna uchaguzi uliofanyika chini ya tume inayowajibika kwa mteuzi wake ambae ni mwenyekiti wa CCM na ni mgombea.
Unajua ila kwa upofu wa akili yako unafikiri utafuta kweli.
Kabla ya uchafuzi wa 2020 CCM iliiba kura lakini 2020 ilipora hadi mchakato wa uchaguzi. Ni swali la kijinga na kinafiki