Nani aliwadanganya CHADEMA wamponde Hayati Magufuli majukwaani!!? Hili jambo litawanyima kura miaka elfu

Nani aliwadanganya CHADEMA wamponde Hayati Magufuli majukwaani!!? Hili jambo litawanyima kura miaka elfu

Wewe huna ubongo kabisa tena mpuuzi. Hakuna uchaguzi uliofanyika chini ya tume inayowajibika kwa mteuzi wake ambae ni mwenyekiti wa CCM na ni mgombea.

Unajua ila kwa upofu wa akili yako unafikiri utafuta kweli.

Kabla ya uchafuzi wa 2020 CCM iliiba kura lakini 2020 ilipora hadi mchakato wa uchaguzi. Ni swali la kijinga na kinafiki
Hakika nimejiridhisha 100% kuwa unafikiri kwa kutumia lile tundu la kutolea huko nyuma kwako.
Ulichojaliwa ni matusi badala ya hoja
 
Hakika nimejiridhisha 100% kuwa unafikiri kwa kutumia lile tundu la kutolea huko nyuma kwako.
Ulichojaliwa ni matusi badala ya hoja
Wewe unazungumzia hilo hilo Tundu. Mpumbavu akipewa hoja jadidi unaona umetukanwa kwa sababu u mpumbavu.
Nimekuuliza kigezo kikuu cha kutathmini uchaguzi huru na haki ni nini mjinga wewe?
Kama tume haijawahi kuwa uhuru kuna uchaguzi huru?
Unasema uchaguzi wa 2020 Magufuli aliwachapa wapinzani kwa kuwa wananchi wanampenda, kwa ule uchafuzi siyo kinyeo kinachozungumza?
 
Back
Top Bottom