Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umesema uhalisia😍😍😍Kweli kabisa, alafu mbaya ni pale mwanamke mweupe wa asili anapoanza kujichubua tena ili aongeze mng'ao, mbaya zaidi ni mwanamke mweusi anapoanza kujichubua ,vidole,viwiko na visigino utaona tu rangi haishabihiani na sehem zinginezo.
Napenda mwanamke na ngozi ya asili, kama ni black awe black kama ni white awe white wa asili.
We mwenyewe ulimpendea weupe ndo maana ulivomkuta mweusi ukamblock
Eti jamanKwa hiyo umemblock kwa kuwa ni mweusi!
Dah! Umenivuruga ghafla akili yangu. 😫 Yaani huniambii kitu kwa mwanamke mwenye weupe wa asili! Yaani mafuta yake makuu ni babycare, au family!Weupe asili wa kiafrika una kamn'gao flani hivi kakuvutia achana na ule wa kupakaa kemikali
Wewe hua unashukurugi huo uzuri uliopewa...Pia tuwe na shukran na tulichopewa.
Naridhika na weusi wangu SWewe hua unashukurugi huo uzuri uliopewa...
Dah! Umenivuruga ghafla akili yangu. [emoji31] Yaani hiniambii kitu kwa mwanamke mwenye weupe wa asili! Yaani mafuta yake makuu ni babycare, au family!
Ila kwa bahati mbaya ni wachache kweli.
Kuna hii product ndio imeshika chati kwa sasa.... Hatariz😅😂
Utaanza kukemea kwa jina la Yesu...... pepo toka pepo toka .Picha+ filter
Onana nae sasa
Meaning ungekuta ni mweupe kama Mchina ungempenda na usingem-block!!!Sasa leo katika mizunguko yangu nimekutana naye live. Eee bwana ni mweusi tena ana chunusi.
Nimem-block sipendi ujinga
She can’t be ugly online and offline😊Yaani siku hizi imekuwa too much sasa
Kuna mwanamke mmoja hivi nilikuwa na-chat naye yaani yeye kila picha yake akiweka status yaani ni Mzungu tu
Sasa leo katika mizunguko yangu nimekutana naye live. Eee bwana ni mweusi tena ana chunusi.
Nimem-block sipendi ujinga
Hivi ninyi wanawake wetu kwanini msijikubali na weusi wenu uo kama wanawake wa Burundi na Soudan?