Nani aliwadanganya Wanawake wa Kiafrika kuwa weupe ndiyo urembo?

Aki wanaume mnakuwaga wanafki sana, yan nyie ndo mnaofanya wahangaike na bado mnakuja kuwasimanga....

Ww mwnyewe ulivutiwa na rangi yake ya mtume from dubai, ndyo mana ulipomkuta yupo kama me from sudan kusini ukaachana nae na kumblock ukamblock.

Watu weng wanaamin uzur n weupe, na pia uzur n tako na nyie wanaume mnapenda hivyo. Na ukizngatia ss tu kwa ajili yenu teh teh teh kwahyo tupo kuwardhisha teh teh teh teh teh.
 
Kuna wale wako na nyuso kama nyama mbichi hadi huruma yaan. Weupe mzuri ni ule wa asili vinginevyo ni hovyo tu.
Ila kiukweli uzuri wa mtu hauko kwenye rangi maana kuna watu WEUPE ILA uzuri hawana kabisa [emoji23][emoji23][emoji23] tuanze tu na wahindi wachina sijui wajapan utagundua tu kua uzur wa mtu sio rangi
 
Mie nachoona uzuri wa mtu upo machoni pa muangaliaji. Kuna watu kwa ngozi nyeupe huwaambii kitu uwe weupe mzuri ama wa hovyo yeye humuambii kitu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jamii gani inaongoza kwa uzuri?
 
Mie nachoona uzuri wa mtu upo machoni pa muangaliaji. Kuna watu kwa ngozi nyeupe huwaambii kitu uwe weupe mzuri ama wa hovyo yeye humuambii kitu [emoji23][emoji23][emoji23]
KWA kwakweli maana wengine wanapenda WEUPE yaani kiasi kwamba wakiona hata nguruwe [emoji241][emoji241]wanadata[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Imebidi niangalie mara mbili mbili hizo bei. Aisee turidhike tu na rangi zetu. Wanawake tujiamini kila mtu ana chaguo lake.

Continue.......

Na wale waliokaa nyuma wakusikie..
 
Back
Top Bottom