Nani aliwadanganya Wanawake wa Kiafrika kuwa weupe ndiyo urembo?

Ni wanaume ndio wamewadanganya mpaka mnasababisha watoto wa watu wanajichubua, cha ajabu wanaume nao siku hizi wanajichubua wakiamini ndio urembo
Wanaume nao ambao ni wajinga wajinga wameanza kujichubua baada ya kusikia mnawawinda wazungu.
Wakasema tabu iko wapi ngoja na sisi twende sawa
 
Kwa hiyo ngoma droo🤣🤣
 
Back
Top Bottom